Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
mpira una Anza SAA ngapi?Dk 90 zipo ili kukamilisha maana ya mpira wa miguu wachezaji baadhi wanaweza kutugharimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpira una Anza SAA ngapi?Dk 90 zipo ili kukamilisha maana ya mpira wa miguu wachezaji baadhi wanaweza kutugharimu
Mimi nitakuwa nakojoa tuuuYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Wallah nimecheka akaazime kabisaduuuh!, mwenge hadi airport!, utaazima wa tembo au wako
Mwambie asipate shida kunya umbali mrefu hivyo,aje aninyee magetoni
mvujajasho nguli
KIMENUKA: Kiongozi wa kanisa la mitume na manabii Baba Mchungaji Daudi Mashimo apokea maono kuwa Starz itafungwa leo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sawa tukishinda tutakudai mavi na ole wako utunyime hayo mavi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwa kweli maan lazima warudi kwao na kilioJiandae kujinyea...
😂😂😂😂😂😂😂Bangi mbaya sana!!, eti tukifuzu AFCON utakunya kuanzia mwenge hadi uwanja wa ndege!!--- hayo mavi ya kunya njia nzima utayatoa wapi wakati lishe yako yenyewe ni matatizo kutokana na vyuma kukaza!!,😁😁😁.
Wabongo shida kweli, na bado kuna miaka mingine 5 ya shida, sasa sijui hali itakuaje??
Anza kunywa konyagi zako Na gongo ulizozizoeaYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
ukimaliza kunywa gongo zako uanze kunyaYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Ha Ha Ha Ha ha umenichekesha sana mkuu