minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,751
- 4,946
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kula magimbi Na maharage ya kutosha mkuuYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Ha Ha Ha Ha ha umenichekesha sana mkuu
Itabidi anywe dawa ile ya kusafisha tumbo
Gari ya maji taka itakua inamfuatilia kwa nyuma, ni fursa kwao...[emoji848][emoji848]Kabla vita ya mashoga inabidi watanzania waanze na watu kama nyie
Mkuu upoje kushusha vitu mwenge to airport??
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zako hazina akiliYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Sipati picha huyu jamaa ataanzaje kunya, na mida hii ndio jamaa wameshafungwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshaanza kunya au ndo unajiandaa kuvua chupi maana tayari tuna goli moja..nakushauri kila goli tunalofunga na wewe tukumwagieYani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Uchafuzi wa mazingira itabidi azoeMmemuona mpumbavu uyu, baada atoe ahadi vitu vya maana, yeye anataka anye njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo?Hatuna kikosi cha kumfunga Uganda labda watuonee huruma tu.
Cc; Kaguta M7