Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

Andaa mnduku tu, fake id zinawasaidia sana
 
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Umeshaanza kunya au ndo unajiandaa kuvua chupi maana tayari tuna goli moja..nakushauri kila goli tunalofunga na wewe tukumwagie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu boya kabeti hela nyingi sasa anaongea pumba hizo ili kujipa moyo. Kaka umefeli mhindi kashatafuna chake.
 
Back
Top Bottom