Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

😂😂😂😂😂😂😂
 
Tumeshaachiwa moja tayari, uganda ni waungwana sana.

Labda kina Okwi, juko na Wadada wamewaelewesha wenzao.
 
Mh jiandae kwa kula zile Dawa nyeusi za sokoni za kusafisha mafuta ili unye vizuri .Tushashinda mpaka dk kwa 1 dhidi Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…