Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeehh mkuuHahahaha poa mkuu
#Woooozaaaa kama #Mkuu hatak kunyaa[emoji23][emoji23][emoji23]... Tup0 #Mataa hku tunamsubr coz tumemuandalia map0kez ya aina yke[emoji35][emoji35][emoji35]
💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Eeehh mkuu
🤣🤣🤣🤣#Woooozaaaa kama #Mkuu hatak kunyaa[emoji23][emoji23][emoji23]... Tup0 #Mataa hku tunamsubr coz tumemuandalia map0kez ya aina yke[emoji35][emoji35][emoji35]View attachment 1053229
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Huna akili wala haustahili kuwamo humuTukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uwii huyu mchawi shubamit nadhan atakua ana hara hadi utumbo sasa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]Bangi mbaya sana!!, eti tukifuzu AFCON utakunya kuanzia mwenge hadi uwanja wa ndege!!--- hayo mavi ya kunya njia nzima utayatoa wapi wakati lishe yako yenyewe ni matatizo kutokana na vyuma kukaza!!,[emoji16][emoji16][emoji16].
Wabongo shida kweli, na bado kuna miaka mingine 5 ya shida, sasa sijui hali itakuaje??
Naikumbuka vyema! Tanzania bado sana tuwaendeleze serengeti boys wa mwaka juziUliona mechi yetu dhidi ya Uganda first leg nyumbani kwao? Walifanya nini? Tena tulikuwa tuwazabue kwao kama unaikumbuka vema ile mechi
Sent using Jamii Forums mobile app