Tangu lini ukaona mtu akifukuzwa na kuelekezwa sehemu ya kwenda kama hana uraia wa hiyo nchi? Yeye ndo aseme kwa nini alikuja huko,
We Mzee njoo huku kwenye brt yetu ya thika superhighwayMwengine huyu mumeanza kumzushia pamoja na kwamba babu yake alihusika kwenye harakati za uhuru wenu
Tukimaliza kuchora brt Kwa pink colour ,tutajenga super highwayHukutaka brt kwenye superhighway, hivi Bongo lini mtakua na superhighway hata moja tu.
Morogoro road tayari inaandaliwa hujaona majumba yakivunjwaDar ilivyo ovyo mtapata wapi nafasi ya superhighway.