Tukijadili ya Miguna, tukumbuke huyu Mtanzania ambaye hutupwa tupwa kama mpira mpakani wa Kenya na Tanzania

Tukijadili ya Miguna, tukumbuke huyu Mtanzania ambaye hutupwa tupwa kama mpira mpakani wa Kenya na Tanzania

Tangu lini ukaona mtu akifukuzwa na kuelekezwa sehemu ya kwenda kama hana uraia wa hiyo nchi? Yeye ndo aseme kwa nini alikuja huko,

Mwengine huyu mumeanza kumzushia pamoja na kwamba babu yake alihusika kwenye harakati za uhuru wenu

470aee58-db75-4b65-805b-c79953e6e221-jpeg.734563
 
Mwengine huyu mumeanza kumzushia pamoja na kwamba babu yake alihusika kwenye harakati za uhuru wenu

470aee58-db75-4b65-805b-c79953e6e221-jpeg.734563
We Mzee njoo huku kwenye brt yetu ya thika superhighway
 
We Mzee njoo huku kwenye brt yetu ya thika superhighway

Hukutaka brt kwenye superhighway, hivi Bongo lini mtakua na superhighway hata moja tu.
 
Hukutaka brt kwenye superhighway, hivi Bongo lini mtakua na superhighway hata moja tu.
Tukimaliza kuchora brt Kwa pink colour ,tutajenga super highway
 
Aandike tu waraka wa kumsifia naniiiii!!! I bet, atakua hata balozi asiye na nchi ya kuwakilisha
 
Kumnyang'anya mtu uraia wake kwa kigezo cha jina ni hoja dhaifu sana. Hivi raia qa Tanzania wenye majina ya John James, Michael Richard,Mohamed Abdallah, Aziz Sharif na wao tuseme sio watanzania sababu majina yao yanarandana na ya kizungu na kiarabu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom