Tukijadili ya Miguna, tukumbuke huyu Mtanzania ambaye hutupwa tupwa kama mpira mpakani wa Kenya na Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa mujibu wa taarifa za habari, jamaa alizaliwa na kusomea Tanzania, wazazi wake wapo Tanzania ila yeye alizushiwa uraia na kutupwa nje, ilhali wazazi wake ni Watanzania na hawajahojiwa wala kuguswa. Kinachomponza ni jina lake la Kijaluo.

Yaani haileti mantiki kwamba wazazi wako bado wapo hai na wana uraia wa nchi ulikozaliwa lakini wewe unatupwa nje, na sio kwamba uliwahi kuukana uraia wako kama ilivyo kwa Miguna.

Alitupwa nje kupitia Namanga, lakini Kenya wakagoma kumpokea maana hana chochote Kenya. Hivyo, wakati tukitokwa na povu kuhusu Miguna, tukumbuke huyu jamaa ambaye huishi pale mpakani maana nchi zote mbili zimemkatalia mbali......

thumb_uvqf4ydu2u8e25abd4dfd616b6.jpg

--------------------------------------------------

A Tanzanian man has spent the last four years on the no man’s land located between Tanzania and Kenya as he fights against deportation. Anudo Anudo had his passport taken by the the Tanzanian government who then cancelled it, deleted it from the register and then deported him to Kenya.

In turn, Kenya expelled Mr Anudo and sent him back to Tanzania, but the authorities there blocked his re-entry. The stateless man has been living on no man’s land despite having acquired his Tanzanian citizenship by birth. Last Friday, the African Court on Human and People’s Rights found the Tanzanian government illegally took away Anudo’s citizenship as he was born and raised in Masinono village, Babati district, Tanzania.

Despite the Tanzanian authorities’ argument that his name was more Kenyan than Tanzanian, the court found that his birthright could not be taken away. The case was heard by justices Sylvain Ore, Ben Kioko, Gérard Nuyunge, Koel Hadji, Rafâa Ben Achour, SO Mengue, Marie-Thérèse Mukamulisa, Tujilane Chizumila and Chafika Bensaoula.
“The Tanzanian Citizenship Act contains gaps in as much as it does not allow citizens by birth to exercise judicial remedy where their nationality is challenged as required by international law,” the judges ruled.

“The respondent State (Tanzania) does not contest the applicant’s parents’ Tanzanian nationality just as it did not prosecute the applicant for forgery and making use of forged documents with the intent to defraud. It follows that the decision to deprive the applicant of his Tanzanian nationality is unjustified.” Despite the continental court finding that Anudo was illegally kicked out of his country, it ruled that it had no powers to annul the expulsion.

Retained passport Court documents show that in 2012, Anudo approached the Babati district police to process formalities for his marriage. The officers retained his passport on the grounds that there were suspicions regarding his Tanzanian citizenship. The authorities alleged that some of his neighbours in Misonono had raised a claim that he was born in Kenya although his entire family had been living in the area for a long time. The 33-year-old man was raised and educated in Tanzania, where he has also worked. His fight with the government involved corruption allegations he had lodged against immigration officials.
Read more at: Expelled Tanzanian national lives stateless in no man's land at the boarder
 
Ukimuangalia vizuri ni kama nyang'au yule msee lkn ukimuangalia vizuri zaidi anaonekana kama ana ustaarabu wa Kitanzania.
FYI Luo ni moja ya makabila zaidi ya 120 ya kitanzania,tofauti ya waluo wa Kenya na Tanzania ni kwamba wale wa upande wa pili wanakuwa persecuted haswa.
 
Huyu mnamtesa bure, mbona hamufukuzi wazazi wake, nyie hizi chuki zenu zitasababisha mtafunane wenyewe, na ndio maana mpo maskini pamoja na raslimali mlizonazo.
 
Wewe unasema ni mluo wa Tanzania tusaidiane kufahamu anatoka Kijiji gani? Kitongoji ipi? Na ukoo upi? Waluo wa Tanzania wako tarafa tatu ktk wilaya ya Rorya ambazo ni Luo-Imbo, Girango na Nyancha
 
Huyu anaonewa. Hakuna tofauti kati ya majina ya kiluo ya Kenya na ya Tanzania. Majina ni yaleyale.
 
Wewe unasema ni mluo wa Tanzania tusaidiane kufahamu anatoka Kijiji gani? Kitongoji ipi? Na ukoo upi? Waluo wa Tanzania wako tarafa tatu ktk wilaya ya Rorya ambazo ni Luo-Imbo, Girango na Nyancha

Hayo kawaulize wazazi wake ambao mpo nao siku zote huko tena ni raia wa nchi yenu, yaani nyie mna ukatuni wa kiajabu, uzushie mwana uraia na kuwaacha wazazi wake. Hivi hiyo nchi yenu mnaishi vipi maana mnaonekana kuchanganyikiwa.
 
Kwa mujibu wa taarifa za habari, jamaa alizaliwa na kusomea Tanzania, wazazi wake wapo Tanzania ila yeye alizushiwa uraia na kutupwa nje, ilhali wazazi wake ni Watanzania na hawajahojiwa wala kuguswa. Kinachomponza ni jina lake la Kijaluo.

Yaani haileti mantiki kwamba wazazi wako bado wapo hai na wana uraia wa nchi ulikozaliwa lakini wewe unatupwa nje, na sio kwamba uliwahi kuukana uraia wako kama ilivyo kwa Miguna.

Alitupwa nje kupitia Namanga, lakini Kenya wakagoma kumpokea maana hana chochote Kenya. Hivyo, wakati tukitokwa na povu kuhusu Miguna, tukumbuke huyu jamaa ambaye huishi pale mpakani maana nchi zote mbili zimemkatalia mbali......

thumb_uvqf4ydu2u8e25abd4dfd616b6.jpg

--------------------------------------------------

A Tanzanian man has spent the last four years on the no man’s land located between Tanzania and Kenya as he fights against deportation. Anudo Anudo had his passport taken by the the Tanzanian government who then cancelled it, deleted it from the register and then deported him to Kenya.

In turn, Kenya expelled Mr Anudo and sent him back to Tanzania, but the authorities there blocked his re-entry. The stateless man has been living on no man’s land despite having acquired his Tanzanian citizenship by birth. Last Friday, the African Court on Human and People’s Rights found the Tanzanian government illegally took away Anudo’s citizenship as he was born and raised in Masinono village, Babati district, Tanzania.

Despite the Tanzanian authorities’ argument that his name was more Kenyan than Tanzanian, the court found that his birthright could not be taken away. The case was heard by justices Sylvain Ore, Ben Kioko, Gérard Nuyunge, Koel Hadji, Rafâa Ben Achour, SO Mengue, Marie-Thérèse Mukamulisa, Tujilane Chizumila and Chafika Bensaoula.
“The Tanzanian Citizenship Act contains gaps in as much as it does not allow citizens by birth to exercise judicial remedy where their nationality is challenged as required by international law,” the judges ruled.

“The respondent State (Tanzania) does not contest the applicant’s parents’ Tanzanian nationality just as it did not prosecute the applicant for forgery and making use of forged documents with the intent to defraud. It follows that the decision to deprive the applicant of his Tanzanian nationality is unjustified.” Despite the continental court finding that Anudo was illegally kicked out of his country, it ruled that it had no powers to annul the expulsion.

Retained passport Court documents show that in 2012, Anudo approached the Babati district police to process formalities for his marriage. The officers retained his passport on the grounds that there were suspicions regarding his Tanzanian citizenship. The authorities alleged that some of his neighbours in Misonono had raised a claim that he was born in Kenya although his entire family had been living in the area for a long time. The 33-year-old man was raised and educated in Tanzania, where he has also worked. His fight with the government involved corruption allegations he had lodged against immigration officials.
Read more at: Expelled Tanzanian national lives stateless in no man's land at the boarder
Uongo huo, huku ni KIKUYU tu hawaruhusiwi, jaluo wanakanyaga km kawaida... kwanza kuna wajaluo kibao huku Tz
 
I heard somewhere this guy is going to be helped by a lawyer free of charge..I hope he is helped since their is no record of him renouncing his citizenship....Don’t children inherit citizenship from their parents?One would have thought.Don’t know the regulations..Since there is no question of his parentage then this could be solved...Let me read the Immigration regulations and call some lawyers..Poor guy..
 
  • Thanks
Reactions: BAK

But has anyone questioned citizenship of his parents, has been discussed at any fora, or even investigated. Why would anyone lose citizenship because of his or her name. And his tribulations have lasted way too long....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hana Nshu Bongo
kaeni nae

Jina lako tamu hadi natamani kulitaja taja, tatizo huwa una misimamo mikali hadi nashuku kama wewe kweli mtoto wa ke....
 
But has anyone questioned citizenship of his parents, has been discussed at any fora, or even investigated. Why would anyone lose citizenship because of his or her name. And his tribulations have lasted way too long....
Some lawyers are looking to see if they can help the guy pro bono...It’s high time we look at our Immigration and Citizenship regulations as Africans...I feel bad for the guy..
 
Huyu mnamtesa bure, mbona hamufukuzi wazazi wake, nyie hizi chuki zenu zitasababisha mtafunane wenyewe, na ndio maana mpo maskini pamoja na raslimali mlizonazo.
He he heeee, relax. Eti chuki zetu. Kama tunamchukia basi huyu ni mkenya pure. Watanzania hatuchukiani hata siku moja.
 
Hehehe Labda kwa mtu asiyewajua nyie, kwanza chuki yenu ni mbaya sana maana huwa mnaificha kinafiki na kuitana mkuu na kuamkuana shikamoo na mengine yote ya kiustaarab huku mkichimbana balaa.
Sasa huyu hapa wivu tu hadi mkaona mumzushie uraia.
 
Back
Top Bottom