Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

Nadhani siasa, demokrasia na hizi taratibu nyingine kama uchaguzi n.k tumezikopi na kupaste kama tufanyavyo kwenye ushabiki wa soka bila kujua sisi ni nani, tunaenda wapi na tunahitaji nini kufika huko!!
Ni kweli kabisa. Tunachohitaji hata hapa TAnzania ni "HOME GROWN DEMOCRACY"/DEMOKRASIA INAYOLINGANA NA MAZINGIRA YETU.
Na si ya WAZUNGU.
 
Back
Top Bottom