S shige2 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 8,106 Reaction score 3,967 Jul 10, 2020 Thread starter #121 Jp Omuga said: Nadhani siasa, demokrasia na hizi taratibu nyingine kama uchaguzi n.k tumezikopi na kupaste kama tufanyavyo kwenye ushabiki wa soka bila kujua sisi ni nani, tunaenda wapi na tunahitaji nini kufika huko!! Click to expand... Ni kweli kabisa. Tunachohitaji hata hapa TAnzania ni "HOME GROWN DEMOCRACY"/DEMOKRASIA INAYOLINGANA NA MAZINGIRA YETU. Na si ya WAZUNGU.
Jp Omuga said: Nadhani siasa, demokrasia na hizi taratibu nyingine kama uchaguzi n.k tumezikopi na kupaste kama tufanyavyo kwenye ushabiki wa soka bila kujua sisi ni nani, tunaenda wapi na tunahitaji nini kufika huko!! Click to expand... Ni kweli kabisa. Tunachohitaji hata hapa TAnzania ni "HOME GROWN DEMOCRACY"/DEMOKRASIA INAYOLINGANA NA MAZINGIRA YETU. Na si ya WAZUNGU.