Tukileta ujuaji tunakula Hamsa kwa Mkapa

Wapo busy kuchambua mechi ya Yanga. Mnacheza na timu ambayo mnatakiwa muwe very accurate, sio mnpata nafasi tatu kama juzi unakosa, wale jamaa nilivyo watozama na Vipers, wapo very accurate wanaweza kumaliza mechi hata ndani ya dk 5.

Kama wameweza kucheza bila mashabiki na wakapata matokeo basi hata hapa haijalishi mtaujaza vip uwanja sizani kama mtawatoa mchezoni.
 
Katika michezo taaluma rahisi kabisa Kwa Watanzania ni ukocha. Huyu ana UEFA Pro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…