Tukileta ujuaji tunakula Hamsa kwa Mkapa

Tukileta ujuaji tunakula Hamsa kwa Mkapa

Wapo busy kuchambua mechi ya Yanga. Mnacheza na timu ambayo mnatakiwa muwe very accurate, sio mnpata nafasi tatu kama juzi unakosa, wale jamaa nilivyo watozama na Vipers, wapo very accurate wanaweza kumaliza mechi hata ndani ya dk 5.

Kama wameweza kucheza bila mashabiki na wakapata matokeo basi hata hapa haijalishi mtaujaza vip uwanja sizani kama mtawatoa mchezoni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahjussi Happy Valentines day
Kwa furaha hiyo, naona mambo sio mabaya kuhusu valentines Ahjumma[emoji1].
IMG_20230214_132007.jpg
 
Habari wakuu

Ningependa kutoa rai kwa kocha wetu Robertinho ikiwa chama, Saidoo, Sakho, Phiri, Baleke wako vizuri, basi ujuaji na ufundi uliopitiliza na kujaribu mifumo aweke pembeni kwanza.

Najua muda huu molari ya wachezaji ipo juu sana kuelekea game ya jumamosi yani kiufupi ni kwamba wachezaji game wanaitaka, hivyo ningependa aweke full mziki kipigwe/tuwakimbize kwa dk zote 90.

Akileta ujuaji wake sijui kibu anacheza direct, kyombo ana mikimbio mizuri matokeo yake dk ya 15 chama nje kibu ndani, hatujakaa vizuri dk 30 Saidoo nje Kapama ndani. Tunakula Hamsa kweupe hapo hapo lupaso.

Yani hawa wakina Bocco, Kibu, Kyombo na wengineo wasihusike kabisa na mchezo hata benchi wasikae maana shetani hana maana anaweza akakupitia ukajikuta umemuinua kibu achukue nafasi ya mtu mapema.

Ikiwezekana hapo benchi wakae hata bodi ya wajumbe ya wakurugenzi, yani tuwakimbize mwanzo mwisho.
Katika michezo taaluma rahisi kabisa Kwa Watanzania ni ukocha. Huyu ana UEFA Pro.
 
Back
Top Bottom