Baada ya wazee wenye maono kama Pinda na Mama Makinda kukataa kazi ambayo itafanya historia yao iharibike ya kuwa makamu wa CCM kwenye chama ambacho kwa sasa kinategemea Polisi na usalama kushinda. CCM imemchagua mzee wasira mwenye miaka 80 na anasahau mpaka wajukuu zake majina. Kwa ufupi wamechagua dodo tu ambalo linaweza kuongea.
Chadema wana Lissu na Heche. Heche ambaye naye katokea hukohuko kwa wasira ni kijana anaye elewa maisha ya wenzake. Sasa nchi ambayo umri wa kati ni miaka 17.5 wanatuletea mzee wa 80😂😂🤮 halafu tunashangilia
Hii inaonyesha CCM ukitoa kupewa mabilioni ya pesa za serikali hakuna ubunifu mpya
Heche kazaliwa wakati Wasira ni mkuu wa mkoa🤦🏾♂️