Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wakiitwa kwenye maandamano hawatoki wanataka CHADEMA wafanyaje?Chadema wako walikokuwa wanataka kufika so no need to blame them. Wako kwenye kilele cha buyu la asali πππ
Ni muda wako wewe na wenzio mnaaona hali sio nzuri upande wenu muingie mstari wa mbele kupinga udhalimu na kupaza sauti. Tuko nyuma yenu mkuu.
Nina Imani na Chadema sanaHakika Kauli ya Mbowe itatikisa Dunia , Vuta Subra .
Mjinga weweNi ujinga kudhani mtu mwingine ni mtetezi wako kwenye hali yeyote ile.
Sidhani Ila imesema kweli, watanzania hawana mwelekeo,Nadhani wamefika mahali wakaona wanao wapigania nao hawana uelekeo.
Wameona walambe asali
Exactly, watanzania tumekuwa dormant mno. Wote tu wajinga, I am sorry to say so! Chadema wamejitoa mhanga Sana kuitetea Umma wetu, lkn tupo tupo tuHuu utegemezi uliopitiliza kwa Chadema sasa ndio umezidi kunifungua macho, tuliwaegemea viongozi wa Chadema kwa kiasi kikubwa sana wawe wasemaji wetu, huku sisi tukibaki nyuma na kuwaacha wao mstari wa mbele.
Matokeo yake tumedumaa, Chadema wakiwa kimya hatujui cha kufanya, na bahati mbaya wakati mwingine hata Chadema wakituambia nini tufanye, bado hatufanyi, tuliwaacha wakazoeleka wazungumzaji wa kila siku kwa press zao.
Muhimu tu tutambue, press bila vitendo ni bure, sasa ni wakati wa kila mmoja wetu kutimiza jukumu lake, kama kweli mnawapenda Chadema wasiachwe peke yao kufanya kila kitu, mabadiliko yanaanzia hapo ulipo.
Huu ndio ukweli mchungu Ni Bora kubaki njia kuu kuwa neutral...Mkuu kuwa neutral tu kama mimi.
Wenzako wako field wewe unataka matamko ili upate cha kuandika huku mitandaoni.
Yani ni kama Chadema wanafurahi sisi wananchi tunavyopata shida ya hayo yote uliyoyataja maana shida zetu zinawasaidia wao kujijenga.
Mimi Ni Chadema damu, siwalaumu, Ila Ni wapinzani wa kweli for Mass benefitsBaadala ya kulaumu walioleta tatizo Yani CCM . Mnawalaumu CHADEMA.
CcmHivi mwenye tatizo ni Nani? CCM ama chadema?
Umenena Jambo kubwa Sana.Bro kuwa makini na propaganda,CCM Wanajitahidi sana siku hizi kuonesha kuwa CHADEMA imekaa kimya kwasababu wanafaidi urais wa Samia.
Sasa ni wakati wa kudai katiba mpya kwa nguvu zote ili asije kichaa mwingine akavuruga sheria kama jiwe.
Kutokuoanda mishahara ni matokeo ya udikteta wa jiwe kwa kutokufuata sheria ya ongezeko la mshahara na kuamua kadri ya anavyoona.
Tuache CHADEMA ipambanie mambo makubwa kama KATIBA MPYA na MARIDHIANO YA KITAIFA.
Mambo ya wafanyakazi viachiwe vyama vyao sasa vifanye kazi yake na wafanyakazi wenyewe waamue kuamka.
Nani mfanyakazi?
Hizi hoja mkuu@Erythrocyte Ni za kisiasa Sana unachosahau Ni kuwa Mwamba kabakisha mwaka mmoja kuretire ...Hoja ya mkuu@Retired inamashiko huwezi kukaa kimyaa wakati Taifa linazamishwa...Ccm bila kushtuliwa kwa critism haiendi ng'o!!!Hakika Kauli ya Mbowe itatikisa Dunia , Vuta Subra .
Mungu ibariki CHADEMA [emoji1545]Bado nina Imani kubwa na Chadema. Toa neno Mh. Mbowe katika hizi vurugu za "kudanganywa "mishahara, Kingai (mbambikaji wa kesi kupanda cheo) and many other hot issues!
Hili lipo wazi kabisa watanzania Ni kondoo ...Tutachukua muda Sana kuwa welevu....Exactly, watanzania tumekuwa dormant mno. Wote tu wajinga, I am sorry to say so! Chadema wamejitoa mhanga Sana kuitetea Umma wetu, lkn tupo tupo tu
Watanzania wanaendekeza utoto wa kuwatoa wenzao kafara πππWakiitwa kwenye maandamano hawatoki wanataka CHADEMA wafanyaje?
Kelele zote zile ni kwasababu bwana Yule alikata mirija. Sasa hivi mirija yote inatema asali! Kafieni mbele hakuna mtetezi
Watulie hata Mbowe ana watotoWatanzania wanaendekeza utoto wa kuwatoa wenzao kafara πππ
Mjinga wewe
Mkuu 'Retired', umeuliza swali muhimu kweli kweli ambalo linahitaji mjadala wa maana sana kupata jibu/majibu yanayoeleweka.Bado nina Imani kubwa na Chadema. Toa neno Mh. Mbowe katika hizi vurugu za "kudanganywa "mishahara, Kingai (mbambikaji wa kesi kupanda cheo) and many other hot issues!