Tukimbilie wapi? Mtetezi wetu CHADEMA amekaa kimya!

" Funga mdomo , lamba asali "

Asilisikika akisema , Baada ya bwana yule kuondoka

Wewe jifariji kwa maneno ya upepo. Leo mnaisema CHADEMA inalamba asali kisa ipo kimya . kipindi wanashughulikiwa mlikuwa mnawacheka na kuwakebehi.
 
Hicho ndicho ulichobarikiwa hapo Ufipa st

Wenzako walamba asali wewe unapiga miayo ya MATUSI

Mlifurahia chadema kutekwa na kupigwa. Leo mnaumia kuona hawabugudhiwi Kama zamani, na kupewa nafasi ya majadiliano. Wakati chadema wanafanyiwa kila Aina ya dhihaka na Magufuli ulikuwa unafurahia.

Leo wametulia umeanza kujipendekeza eti oooh wanalamba asali. Unaijua asali?.
 
Ustaarabu ni kutoongea Wakati wa kulamba asali kaka

Ila kipindi kile mliwaita magaidi na kuwafanyia kila Aina ya dhihaka. Hata haijulikani mnataka Nini? CHADEMA wameamua kuwaachia nchi yenu mtawale.
 
Kuua na kuwafunga ndio kukata mirija? CHADEMA wamepitia mengi waacheni wakae kimya. Kuna kipindi kuwa CHADEMA lilikuwa kosa la jinai.
Kama akili yako inakwambia kufunga mirija ni kuua siwezi kukupinga.
 
Wote walewale tuu, uliapa utahama nchi iwapo mbelgiji wenu hatakuwa rais badala yake rais wenu kaenda kwa Amsterdam wewe uko hapa unalalamika na mbowe.
 
Ndugu yangu, kwa sasa hakuna CHADEMA wala ACT.
Mama anatumia sana njia alizotumia JK.
Utakumbuka wakati wa JK, ilikuwa Wapinzani wakipiga kelele kidogo tu, anawaita IKULU. Huko watakunywa chai na kupewa Bahasha.
Wakishatoka hapo, kelele zao zooote zinakuwa zimekwisha.

Vivyo hivyo hata sasa. Watapigaje kelele wakati wameshapata Chao?
 
..Chadema wakitoa elimu kuhusu makodi na matozo ya serikali ya awamu ya 6.

EeeeenHeeeee!

Hayo siyo ya muhimu. Muhimu ni kupanda mshahara, basi basi!

I am getting to like CHADEMA's strategy, if indeed there is one!
 
UKO SAHIHI, WATANZANIA TU WATU WA AJABU SANA. UMESEMA KWELI TUPU! UJAMAA ULITULOGA, CAN YOU IMAGINE WATU BILIONI MOJA CHINA WANAENDSHWA KIJINGA NA MTU MMOJA.
haya ndiyo ya kwetu, chadema wamejitoa sana kuwatetea wananchi , lkn tumewaangusha. Angalia Lolionndo, kila mtanzania ( few exceptions) wako kimya! Niliandika humu nikasema ukimya huu, kesho Mt Kilimanjaro area, prime area, waarabu wataitaka.... na watafurushwa!
 
Unajua kuwa na platform ya kusemea? Wewe platform yako Ni JF, bila JF nisingelijua kuwa Kuna jitu limejibandika jina la uongo kinaitwa rΓ raa reree.....
Aya bhana lijitu linakuambia sawa endelea kumsubiria mbowe atoe kauli 😜😜😜
 
Lichadema lako lilikuwa linapiga kelele sababu mirija ya asali ilikatwa..

Kafieni mbele na lichama lenu mfu hilo!
 
Bado nina Imani kubwa na Chadema. Toa neno Mh. Mbowe katika hizi vurugu za "kudanganywa "mishahara, Kingai (mbambikaji wa kesi kupanda cheo) and many other hot issues!
Aliipokuwa akiwatetea na kuhimiza maandamano mlijificha, na wao wamechoka kuswekwa ndani
Sasa jiteteeni wenyewe
 
Aliipokuwa akiwatetea na kuhimiza maandamano mlijificha, na wao wamechoka kuswekwa ndani
Sasa jiteteeni wenyewe
Kama tunatakiwa kujitetea wao wanabaki kwa kazi ipi? Kula ruzuku?

Hatulazimishi wawepo, kama hawatimizi wajibu wafute chama wasile pesa yetu burebure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…