Uchaguzi 2020 Tukimkata watasema tumemuogopa na tukimuacha atatusumbua: Ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Tukimkata watasema tumemuogopa na tukimuacha atatusumbua: Ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu

Nilikua najua CCM ya Magufuli wanamuogopa sana LISSU, sikuwaza kama wanamuogopa kwa kiwango kikubwa kiasi hiki.
#LISSURAIS2020
Eti umetumia kipimo gani!?
ama umetumia mizani ya kupimia nyama!
 
Mwaka huu wanamsiliza Rais aliyewaahidi kufuata sheria za kazi na kulinda ongezellig la mishahara yao.
Hawana uthubutu huo, kura zao tunazifuatilia kwa ukaribu sana, yoyote atakayepigia kura wapinzani tutamfungulia kesi ya uhaini.
 
Eti umetumia kipimo gani!?
ama umetumia mizani ya kupimia nyama!
Hujaona mnavyotapatapa na Lissu??? Risasi hukiziona??? Figisu za vyombo vya habari hujaziona??? Figisu za polisi hujaziona???

Unataka ushahidi gani tena mataga mkubwa wewe???
 
Hujaona mnavyotapatapa na Lissu??? Risasi hukiziona??? Figisu za vyombo vya habari hujaziona??? Figisu za polisi hujaziona???

Unataka ushahidi gani tena mataga mkubwa wewe???
Usidhani kila mtu ni CCM humu bro...
wengine sisi ni UPDP
 
Huu ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu wanashindwa wamfanye nini mtu huyu ambaye ameshaonekana ni mwiba mchungu sana kwenye kampeni za mwaka huu.

Ushauri wangu kwa NEC muacheni Tundu Lissu agombee kwani kwa kumkata kama watu wanavyofikiria sio njia ya kupunguza makali yake kwa namna yoyote ile.

NEC acheni mwaka huu tuone hoja zikijibiwa kwa hoja kisha wananchi tutoe maamuzi yetu mwezi Oktoba. Naamini mtafanya hivyo

Tukutane Oktoba.
sisi wa kutoka chingaland tunasemaga "ukimeza nshale, ukitema nshale!"
 
Anza kuongeza yako.....
manake ujinga wako ni mwingi sana
nyie ndio wale kila mkiona mzumgu mnajua ni padre.
Kipimo kikuu cha nani mjinga kati yangu na wewe ni wewe kui support Ccm na mambo yote ya ajabu waliyoifanyia Tanzania
 
Back
Top Bottom