LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Baba la baba, alifanya kosa la kiugundi kuzuia mikutano. Sasa watu wame amka kama watoto anavyo furahia walinwa sikukuu.Ahahahaaaaaaa mkuu watu vichwa vinauma huko hawaamini kama ingekuwa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba la baba, alifanya kosa la kiugundi kuzuia mikutano. Sasa watu wame amka kama watoto anavyo furahia walinwa sikukuu.Ahahahaaaaaaa mkuu watu vichwa vinauma huko hawaamini kama ingekuwa hivi
Ata jaribu kushinda kwa shari lakini atajiaibisha sana.Magufuli lazima ashinde kwa haki au kwa shari
Eti umetumia kipimo gani!?Nilikua najua CCM ya Magufuli wanamuogopa sana LISSU, sikuwaza kama wanamuogopa kwa kiwango kikubwa kiasi hiki.
#LISSURAIS2020
Tunachojali ni ushindi na watanzania ni wepesi sana kusahauAta jaribu kushinda kwa shari lakini atajiaibisha sana.
Hawana uthubutu huo, kura zao tunazifuatilia kwa ukaribu sana, yoyote atakayepigia kura wapinzani tutamfungulia kesi ya uhaini.Mwaka huu wanamsiliza Rais aliyewaahidi kufuata sheria za kazi na kulinda ongezellig la mishahara yao.
Wagamba otaiTL ni habari nyingine, tunamsubiri sana huku Bukoba.
Wagamba otai
Hujaona mnavyotapatapa na Lissu??? Risasi hukiziona??? Figisu za vyombo vya habari hujaziona??? Figisu za polisi hujaziona???Eti umetumia kipimo gani!?
ama umetumia mizani ya kupimia nyama!
Usidhani kila mtu ni CCM humu bro...Hujaona mnavyotapatapa na Lissu??? Risasi hukiziona??? Figisu za vyombo vya habari hujaziona??? Figisu za polisi hujaziona???
Unataka ushahidi gani tena mataga mkubwa wewe???
Achana na hayo mawazo.Ujasiri wa wasomali, watanzania hawana
UPDP hawahawa CCM D???Usidhani kila mtu ni ccm humu bro...
wengine sisi ni UPDP
sisi wa kutoka chingaland tunasemaga "ukimeza nshale, ukitema nshale!"Huu ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu wanashindwa wamfanye nini mtu huyu ambaye ameshaonekana ni mwiba mchungu sana kwenye kampeni za mwaka huu.
Ushauri wangu kwa NEC muacheni Tundu Lissu agombee kwani kwa kumkata kama watu wanavyofikiria sio njia ya kupunguza makali yake kwa namna yoyote ile.
NEC acheni mwaka huu tuone hoja zikijibiwa kwa hoja kisha wananchi tutoe maamuzi yetu mwezi Oktoba. Naamini mtafanya hivyo
Tukutane Oktoba.
Tupe heshima yetu mkuu...UPDP hawahawa CCM D???
Basi iongoze vizuri akili yako iwe na akili.Tupe heshima yetu mkuu...
sisi ni chama tunachojitegemea, tupo huru ku join na chama chochote uchaguzi wa 2020 ili kupata matokeo chanya...
Anza kuongeza yako.....Basi iongoze vizuri akili yako iwe na akili.
Kipimo kikuu cha nani mjinga kati yangu na wewe ni wewe kui support Ccm na mambo yote ya ajabu waliyoifanyia TanzaniaAnza kuongeza yako.....
manake ujinga wako ni mwingi sana
nyie ndio wale kila mkiona mzumgu mnajua ni padre.
Kama kwa kura halali haina shida lakini mkileta zile janja janja zenu hatutawaelewa.Mwishowe Magufuli anamalizia urais wake miaka kumi iliyobaki