Uchaguzi 2020 Tukimkata watasema tumemuogopa na tukimuacha atatusumbua: Ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Tukimkata watasema tumemuogopa na tukimuacha atatusumbua: Ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu

Kama kwa kura halali haina shida lakini mkileta zile janja janja zenu hatutawaelewa

Ila watanzania wasahaulifu sana .
Yaani
2016-2019
Mateso yamekuwa makubwa sana
Kupotea watu
Kukutwa maiti kwenye viroba
Kejeri
Dharau
Maumivu

Tetemeko kagera na rambirambi zikafyekelewa mbali mwisho watu wakapewa madharau

Watoto wa shule ya Raulent Arusha walivyofariki kwa ajari mzee wala hakusema kitu

Wakulima wameota kibyongo
Wanafunzi dodoma na madhira waliyopata

Bomoa bomoa

Samaki kupimwa mpaka bungeni
Hebu tafakarini haya
 
Nilikua najua CCM ya Magufuli wanamuogopa sana LISSU, sikuwaza kama wanamuogopa kwa kiwango kikubwa kiasi hiki.
#LISSURAIS2020
Mliambiwa yule anaemtaja taja mtu kila saa na hajibiwi na anae mtaja nani anuogopa mwingine?
 
Ila watanzania wasahaulifu sana .
Yaani
2016-2019
Mateso yamekuwa makubwa sana
Kupotea watu
Kukutwa maiti kwenye viroba
Kejeri
Dharau
Maumivu

Tetemeko kagera na rambirambi zikafyekelewa mbali mwisho watu wakapewa madharau

Watoto wa shule ya Raulent Arusha walivyofariki kwa ajari mzee wala hakusema kitu

Wakulima wameota kibyongo
Wanafunzi dodoma na madhira waliyopata

Bomoa bomoa

Samaki kupimwa mpaka bungeni
Hebu tafakarini haya
Uanzishwe uzi kila mtu aseme kauli anayoikumbuka mm nakumbaka nguo kauli moja mbovu alisema kama unangu ambazo unaziona zimechoka usizitupe kunasiku utaziona mpya.
 
Hilo halitatokea kamwe, tunza hii comment yangu.

Ikiwa kinyume chake naahidi kumpa mhitaji Tsh Laki moja kwa niaba yako
Ukiona panya anakurushia takwo ujue ana shimo karibu. Ndivyo ninyi mlivyo na confidence kwa vile vyombo vyote vipo chini yenu
 
Nakwambia anakatwa mapeeema, we'll surprise it on the day..!

HAYO NI MAWAZO YA KIPUMBAVU NA USHENZI WA KWA KIWANGO CHA HALI YA JUU!....NYIE NDIYO MWENYEZI MUNGU ALIWAPA AKILI YA KWENDA TU CHOONI BASI....AKILI ZENU HAZIWASAIDII CHOCHOTE...UNAZO SABABU ZA MSINGI ZA KUTETEA HOJA YAKO?STUPID
 
😂

Stupid, Stupidity and Savagery is your self, black monkey go to hell😢.
 
Huu ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu wanashindwa wamfanye nini mtu huyu ambaye ameshaonekana ni mwiba mchungu sana kwenye kampeni za mwaka huu

Ushauri wangu kwa NEC muacheni Tundu Lissu agombee kwani kwa kumkata kama watu wanavyofikiria sio njia ya kupunguza makali yake kwa namna yoyote ile

NEC acheni mwaka huu tuone hoja zikijibiwa kwa hoja kisha wananchi tutoe maamuzi yetu mwezi Oktoba. Naamini mtafanya hivyo

Tukutane Oktoba.
Mtihani mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom