Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Sababu za kukatwa zinaweza kuwa zipi?Nakwambia anakatwa mapeeema, we'll surprise it on the day!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu za kukatwa zinaweza kuwa zipi?Nakwambia anakatwa mapeeema, we'll surprise it on the day!
Kama kwa kura halali haina shida lakini mkileta zile janja janja zenu hatutawaelewa
Mtayakabidhi tu, mtake msitake.Sio kila homa ni Malaria, ccm hatuwezi kukabidhi madaraka kwa hivyo visanduku vya kuuzia maandazi.
Nakumbuka ile siku ya Mange kimambi watu walifika posta walivoona magari ya vita yanafanya patrol wakasepa kimyakimya..tunaogopa kufa kusema ukweli.Mtapigwa risasi kwenye keyboard?
Sisi ni wababe, na tunajua wengi wenu ni wanyonge hivyo tutawanyonga kwa kukwapua kura zenu.Kama kwa kura halali haina shida lakini mkileta zile janja janja zenu hatutawaelewa
Na ccm itawauwa kweli, chama chetu kitafanya lolote hili kulinda utawala wakeNakumbuka ile siku ya Mange kimambi watu walifika posta walivoona magari ya vita yanafanya patrol wakasepa kimyakimya..tunaogopa kufa kusema ukweli.
Nyie mtatukabidhi ilani tuitumie kama mkitaka.Mtayakabidhi tu, mtake msitake.
Kila mwanzo una mwisho..mtaua mbaka link.Na ccm itawauwa kweli, chama chetu kitafanya lolote hili kulinda utawala wake
Mliambiwa yule anaemtaja taja mtu kila saa na hajibiwi na anae mtaja nani anuogopa mwingine?Nilikua najua CCM ya Magufuli wanamuogopa sana LISSU, sikuwaza kama wanamuogopa kwa kiwango kikubwa kiasi hiki.
#LISSURAIS2020
Uanzishwe uzi kila mtu aseme kauli anayoikumbuka mm nakumbaka nguo kauli moja mbovu alisema kama unangu ambazo unaziona zimechoka usizitupe kunasiku utaziona mpya.Ila watanzania wasahaulifu sana .
Yaani
2016-2019
Mateso yamekuwa makubwa sana
Kupotea watu
Kukutwa maiti kwenye viroba
Kejeri
Dharau
Maumivu
Tetemeko kagera na rambirambi zikafyekelewa mbali mwisho watu wakapewa madharau
Watoto wa shule ya Raulent Arusha walivyofariki kwa ajari mzee wala hakusema kitu
Wakulima wameota kibyongo
Wanafunzi dodoma na madhira waliyopata
Bomoa bomoa
Samaki kupimwa mpaka bungeni
Hebu tafakarini haya
Kama akikatwa sababu zitakuwepo na huyon Mr wenu atajibiwa tu.Licha ya nguvu ya umma, wawe na sababu za kuridhisha kumjibu mr Amsterdam, mwanasheria wa Lissu.
Tumeisha wazibiti siku zenu zinahesabikaNa ccm itawauwa kweli, chama chetu kitafanya lolote hili kulinda utawala wake
Ukiona panya anakurushia takwo ujue ana shimo karibu. Ndivyo ninyi mlivyo na confidence kwa vile vyombo vyote vipo chini yenuHilo halitatokea kamwe, tunza hii comment yangu.
Ikiwa kinyume chake naahidi kumpa mhitaji Tsh Laki moja kwa niaba yako
Kwahiyo hamkutaka wale hizo RAMBI rambi?Pesa za tetemeko ndo zitakazo waangusha ccm Bukoba, Katonda atubele.
Nakwambia anakatwa mapeeema, we'll surprise it on the day..!
Magufuli lazima ashinde kwa haki au kwa shari
Stupid, Stupidity and Savagery is your self, black monkey go to hell😢.HAYO NI MAWAZO YA KIPUMBAVU NA USHENZI WA KWA KIWANGO CHA HALI YA JUU!....NYIE NDIYO MWENYEZI MUNGU ALIWAPA AKILI YA KWENDA TU CHOONI BASI....AKILI ZENU HAZIWASAIDII CHOCHOTE...UNAZO SABABU ZA MSINGI ZA KUTETEA HOJA YAKO?STUPID
Mtihani mkubwa sana.Huu ndio mtihani walio nao NEC kwa sasa kuhusu Tundu Lissu wanashindwa wamfanye nini mtu huyu ambaye ameshaonekana ni mwiba mchungu sana kwenye kampeni za mwaka huu
Ushauri wangu kwa NEC muacheni Tundu Lissu agombee kwani kwa kumkata kama watu wanavyofikiria sio njia ya kupunguza makali yake kwa namna yoyote ile
NEC acheni mwaka huu tuone hoja zikijibiwa kwa hoja kisha wananchi tutoe maamuzi yetu mwezi Oktoba. Naamini mtafanya hivyo
Tukutane Oktoba.
Achana na porojo zao. Lissi anawanyosha huko mikoani wamebaki kilalmikia kwenye mitandao ooh Lissu anafanya kampeni.Kwani tarehe 27 alipowasili shujaa tulikuwa kwenye keyboard za Airport na Dar au?