Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

Mbona inawezekana kwenye ving'amuzi Chief? It is possible na hiyo siyo sayansi inayohitaji extremely high brain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana..kama hizi meter zikibadilishwa mfumo na kuwa "smart meters".

Kama imewezekana kwa AMR hata hizi za luku za kawaida majumbani inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief, Hili jambo linawezekana kabisa. Na hakuhitajiki mita nyengine. Hata mita hizi hizi zikibaki bado linawezakana. Kama kuna mpiga domo mzuri humu na anajua anaweza kushawish hili litokee anitafute. Labda tu watunyime kuingia kwenye hizo system zao. Lakina huhitaji mita nyengine. Utakuwa tu kuangalizia uniti ziko ngapi na siyo kuingiza.
 
Itahitajika circuit ya ziada ku communicate na servers za Tanesco ku update salio la mita.
 
Nimeshauri hii kitu mara kadhaa humu lakini hawa tanesco hawabadiliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good Idea Brother tuna hitaji Watu kama wewe wenywe Akili Kubwaz kuweza kuijenga Tanzania yetu upya.
Though ngoja ni share my experience with you hizi mita za luku au kiujumla za Tanesco hazitengezwi hapa nchini. Zina nunuliwa toka South Africa ndipo kweny kiwanda cha kutengeneza hizi mita. Na kule kuna design nyingi sana za meter so wanacho fanya Tanesco ni kwenda shopping na kuangalia toleo gani lina wafaa then wana press order.
So i think ur great idea would best fit if sold to the South African Company or Tanesco waweze kuwapa kama challenge ili waweze kucome up with these new idea of urz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila hata kubadilisha mita hizi hizi zilipo zinaweza kufanya hayo, wanachoogopa ni wizi wa kimtandao nadhani, japo sina hakika ni kwa namna gani.
 
nyumba za kupanga zile ambazo mnashea meter moja vipi?? itakuaje??
Kwanini sasa hivi inakuaje? Si mnashare malipo ndio mnanunua kwa pamoja au? Ishu ni kuondokana na ile hatua inayokera mno ya kuingiza token ndeeeeefu
 
Wazo mujarabu kabisa mkuu[emoji122][emoji122]
 
Inawezekana kabisa. Ni suala la teknolojia itayoruhusu mita kuwekewa SIM card tu. Sim card inakuwa kwenye mita. Ukinunua moja kwa moja umeme unaingia kwenye mita. Kama unanunua kwa Voda unaweka sim card ya voda kwenye mita. Inakuwa na namba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mzee zipo...

Shida ni kwamba hizo ni smart meters,bei ghali..unaweza kununua?

Ni karibu twice price ya convention digital meter!

Then lazima iwe na communication module,hapa ni GSM,sasa kila mwezi lazima uwe na bili ya 5,000/= ya data connection!

Sasa basi,hazina maana kwa sasa,ni upumbavu kimahesabu kwa uwezo duni kabisa wa kipato cha wananchi wa TZ for now!

Wateja wanao-make sense ni wa waviwandani kwa sasa,na wanazo tayari,zinaitwa AMR!

Kwa mtumiaji wa umeme wa 50,000/= kwa mwezi and less,itachukua miaka 10 kurudisha bei ya smart meter moja fully,ambapo ni upumbavu wa hali juu kabisa,plus 5,000/= ya data bundle ya kila mwezi sijui utalipa kwa hela gani wakati wewe bundle ya ku-surf JF ni matatizo!

Tuliza kipago for now.mahesabu hayakubali hata Jiwe a-subsidize gharama zake!

Mathematically it doesnot make sense kabisa..Tulieni hivyo hivyo!
 
Hapa tunaongelea umeme kupitia mobile money systems, mfano mimi ninaponunua bundle kupitia tigo pesa basi zile zinaingia automatically bila kupunch token tena, sasa Luku ukishanunua inabidi uingize tena token, ni usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…