Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Explain.You do not need any more hardware, I think.
Nashangaa watu wanaosifu eti ''ni wazo bora'' wakati ni kitu cha kawaida sana. Tatizo litakuwa kwenye network. Kutokana na uzoefu wangu Bongo, vifaa vinavyohitaji kuwasiliana kwa network hatuna umakini na technology zake. Kuna uwezekanano kabisa njia unayopendekeza ikaongeza usumbufu kuliko kutatua.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.
Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?
Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1038433
Wazo langu mimi watengeneze na App za Tanesco ili mteja awe na uwezo wa kuangalia Units zilizobaki kupitia App, na pia kuwe na uwezo wa kununua umeme kutumia hiyo app kama ilivyo Tigopesa App.. Hii itarahisisha zaidi kama nyumbani umeme umekwisha unanunua hata ukiwa safarini.
Marahaba dogo..tena iwe zaidi ya hapo iwe pia unaweza kuhamisha units kwenda meter nyingine..Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.
Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?
Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1038433
Point ya msingi nani katengeneza si tumeletewa tuHizi zipo
na zinafanya kazi, ila itabidi za ss zingólewe ziwekwe mpya. So wkianza wataanza na wateja wapya nyie wengine muendelee kusubiria mpaka ije phaseout.
Sawa si watengeneze wanasubiri mpaka mzungu aje kutoa consultancyMbona hata hizi zilizopo zinaweza kufanya hivi, ni marekebisho ya software tu
Si mnakusanya pesa halafu mmoja ananunua?nyumba za kupanga zile ambazo mnashea meter moja vipi?? itakuaje??
Hivi munahela ya hiyo technology ya mfumo kama simu bro maana hata ulaya wana nunu kwa mfumo wa mulio upinga mwanzoni analogy to digital
Siti ya mtu