Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.
Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?
Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??
Kwa lazima sisi tufanye kila kitu kama Ulaya? Kwa nini mnapenda sana kulinganisha vitu na Ulaya? Kwa alili yako ndogo unaamini sisi hatuwezi gundua mfumo mpya ambao ulaya hawajawahi kuutumia? Acheni fikra za kitumwa!
Jambo hili haliwezi kufanyika sasa meter zote inabidi ziwe za gsm, na kama zitakuwa na gsm basi itabidi TANESCO ilipe kampuni ya simu iliyounganiswa nayo, vilevile lazima kuwepo kwa mfumo mpya, wezeshi kufanya hivyo, jambo ili linaweza kuchukua mda ikumbukwe kwamba unapo tumia Technology lengo ni ku lahishisha kazi lakini pia lazima iwe ni Cost efficient, iwapo mfumo ulipo ni wa computer na bado shida yake tu ni kuweka Token bado kitaalamu sio sababu ya kushikika kubadili mfumo, labda kungekuwa na matatizo mengi ya ziada
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.
Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?
Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??
Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellectual endeavor. ORIGINAL THREAD HII HAPA NILIIANDIKA OCTOBER 21 MWAKA 2018. Screenshot hapo juu ni user interface ya Vodacom M-pesa. Shikamooni...
Sisi kama wadau wa minara ya Mawasiliano nchini Tanzania
Hili suala tulilipeleka mezani mwezi November 2019 pale tulipokaa na bodi ya wakurugenzi na Menejimenti nzima ya Tanesco kuhusu suala hilo.
Ila changamoto imekuja hapa
Database yao haijawa updated na hivyo wanahitaji miaka 3 kulikamilisha hilo zoezi.

Wakati wa Maonesho ya TCU kwa bahati mzuri nilikuwa Bongo, niliona wanafunzi wa St Joseph University wana system kama hii na walionesha hata jinsi mtu anavyoweza kuhamisha units kutoka Luku A hadi B. Na zaidi ya hapo walionesha jinsi unavyoweza kupata notification kupitia GSM phone ya mtumiaji. Pengine kama kuna mtu wa St Joseph University humu anaweza kutoa mwanga. cc: Infantry Soldier
Sisi kama wadau wa minara ya Mawasiliano nchini Tanzania
Hili suala tulilipeleka mezani mwezi November 2019 pale tulipokaa na bodi ya wakurugenzi na Menejimenti nzima ya Tanesco kuhusu suala hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.