Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

Kila kukicha tunazidi uvivu. Kubonyeza mita kujaza umeme nayo kero.
 
Mifano michache: Siku hizi ukinunua Nazi wanakuna, Mboga za majani wanakatakata, Kisamvu wanatwanga, Nyama wanakatakata, Vocha wanaunganisha. Itakuwa ni mabadiliko ya tabia ya nchi!!

Back
Top Bottom