Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

Biashara ya meter ni ya nani?kama Tanesco yahusika inaweza kuwa ngumu wakubali
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?

Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1038433
Nashangaa watu wanaosifu eti ''ni wazo bora'' wakati ni kitu cha kawaida sana. Tatizo litakuwa kwenye network. Kutokana na uzoefu wangu Bongo, vifaa vinavyohitaji kuwasiliana kwa network hatuna umakini na technology zake. Kuna uwezekanano kabisa njia unayopendekeza ikaongeza usumbufu kuliko kutatua.
 
Mbona hiii imekwishajadiliwa sana hapa JF Jukwaa la Teknolojia kule lkn pia kuna Uzi Stick wa TANESCO hapo juu inajadiliwa sana tu so sio kitu kipya hapa Jukwaani kama mnavyonadi.
 
Halafu cha kushangaza hadi leo TANESCO hawana App yoyote ile.!
Wazo langu mimi watengeneze na App za Tanesco ili mteja awe na uwezo wa kuangalia Units zilizobaki kupitia App, na pia kuwe na uwezo wa kununua umeme kutumia hiyo app kama ilivyo Tigopesa App.. Hii itarahisisha zaidi kama nyumbani umeme umekwisha unanunua hata ukiwa safarini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this fissible and implementable?

Hivi, wataalam wa ICT wa TANESCO hawawezi kuja na mita mpya na za kisasa za umeme ambazo zinakuwa linked na servers zao kiasi kwamba ukinunua umeme kwa njia za kutumia electronic machine kama simu ya kiganjani ama maxmalipo basi zile units zinaenda automatically ndani ya mita kama vile umelipia king'amuzi cha DSTV??? Tunaweza kuachana na haya masuala ya kuingiza TOKEN??? Is this possible to implement wakuu??

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
View attachment 1038433
Marahaba dogo..tena iwe zaidi ya hapo iwe pia unaweza kuhamisha units kwenda meter nyingine..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri sana mkuu, pia waje na huduma ya post paid umeme, maana sometimes umeme unaisha na unakuta huna kitu mtu, unalala giza ilhali unaweza ukapata kahuduma ka-post-paid au kukopa umeme kisha utalipa baadae. Itatuokoa sana mkuu.

Big up kwa wazo chanya [emoji1666][emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unamawazo mazuri sana ili ukija ukabahatika kuteuliwa au kupata kibarua sekta hio yenye changamoto kamwe hilo wazo litafutika kabisa na unaweza ukusahau idea yako hio nzuri na yenye manufaa.
 
Hizi zipo

na zinafanya kazi, ila itabidi za ss zingólewe ziwekwe mpya. So wkianza wataanza na wateja wapya nyie wengine muendelee kusubiria mpaka ije phaseout.
Point ya msingi nani katengeneza si tumeletewa tu
 
Labda kwa kusaidia Tanesco haitengenezi meter,inanunua meter kutoka makampuni yanayotengeza meter. Je makampuni hayo yana teknolojia hiyo kama ipo basi sidhani kama kuna ugumu kwa tanesco shirika kubwa kueeza kununua meter hizo kwa ajili ya wateja wake.
 
Sasa hizi tulizo nazo tu bei bei juu wakileta izo utaambiwa gharama yake mil 2 si mnaona kwenye reseni ya gari na passport

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamani.. maswala ya kusema sijui meter zitakua ghali mi naona hayana mashiko. Lengo la teknolojia ni kupunguza usumbufu kwa wateja walioko tayari kulipa na mara zote watu wako tayari kulipa ili kuondoa usumbufu..! Kama teknolojia hiyo tayari ipo kwanini isitangazwe na ipatikane kwa wateja walioko tayari kulipia..?

We pata picha mtu unaishi kwenye apartment ghorofa ya 15 umeme unaisha usiku wa manane na meter ipo chini.. uanze kushuka ngazi na taulo lako kiunoni mpaka chini kisa unaenda kuingiza umeme..? Tuko karne ya ngapi kwani?
 
Mita za zamani hazikuwa na network connectivity. Kilichopo ni kwamba unaponunua umeme unasupply meter number ambayo inakuwa ni kama public key ya meter yako. Wao wanakupa umeme wanau encrypt kama token na ndo wanayokupatia na only your meter has a private key kwa ajili decryption. Meter watazokuja nazo sasa ni more smart kwa maana zina network connectivity kwa maana ya kwamba watautuma umeme moja kwa moja kwenye meter. Wataalamu wa computer science au cryptography watakuwa wamenisoma vyema
 
Back
Top Bottom