Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

Je UK/USA nao wameweza? Kama Tayari wanafanya basi na kwetu itakuwa rahisi ila kama wao bado basi "BAADAE SANA".
 
Yani unaona hili ni wazo na mnasifiana kabisa humu kwamba wazo zuri.

Inabidi standards za 'wazo zuri' mziongeze
 
nyumba za kupanga zile ambazo mnashea meter moja vipi?? itakuaje??
Watu wenye akili ndogo kama zako ndio wamejaa bungeni na serikalini na kulifikisha taifa letu hapa lilipo, huwezi uliza swali la kijinga namna hii!
 
Hivi munahela ya hiyo technology ya mfumo kama simu bro maana hata ulaya wana nunu kwa mfumo wa mulio upinga mwanzoni analogy to digital





Siti ya mtu
Kwa lazima sisi tufanye kila kitu kama Ulaya? Kwa nini mnapenda sana kulinganisha vitu na Ulaya? Kwa alili yako ndogo unaamini sisi hatuwezi gundua mfumo mpya ambao ulaya hawajawahi kuutumia? Acheni fikra za kitumwa!
 
Customer satisfaction matters for a focused business company

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi kama wadau wa minara ya Mawasiliano nchini Tanzania
Hili suala tulilipeleka mezani mwezi November 2019 pale tulipokaa na bodi ya wakurugenzi na Menejimenti nzima ya Tanesco kuhusu suala hilo.

Ila changamoto imekuja hapa
Database yao haijawa updated na hivyo wanahitaji miaka 3 kulikamilisha hilo zoezi.
 
Wakati wa Maonesho ya TCU kwa bahati mzuri nilikuwa Bongo, niliona wanafunzi wa St Joseph University wana system kama hii na walionesha hata jinsi mtu anavyoweza kuhamisha units kutoka Luku A hadi B. Na zaidi ya hapo walionesha jinsi unavyoweza kupata notification kupitia GSM phone ya mtumiaji. Pengine kama kuna mtu wa St Joseph University humu anaweza kutoa mwanga. cc: Infantry Soldier
 
Sisi kama wadau wa minara ya Mawasiliano nchini Tanzania
Hili suala tulilipeleka mezani mwezi November 2019 pale tulipokaa na bodi ya wakurugenzi na Menejimenti nzima ya Tanesco kuhusu suala hilo
Congrats
 
We fala nae acha kujifanya mdogo cku zote asee......kila cku wa2pa shikamoo 2.....haya shikamoo naww ka n vzur......anyway mada nzur....wamekuckia
 
Kwanini hata wasingeweka app ya Android ikiwa na menyu ya jihudumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…