kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
nahisi essien anakumbuka sana lile goli daaa so sadNakumbuka goli la the blues lilifungwa na Essien na Barca walikuwa hawajapiga shuti lolote kwenye lango la Chelsea, ila hilo la Iniesta ambalo lilizaa goli. England Chelsea ndo anamweza Barca
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha ipenye mkuuMan u vs Barcelona
Uefa final...zote mbili....hakikaa hakuna muda kwenye Mpira nliumia kama huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na hii pia dozi ya mwisho, acha ipenye mkuuMan u vs Barcelona
Uefa final...zote mbili....hakikaa hakuna muda kwenye Mpira nliumia kama huu
Sio Koscienly mkuu???Arsenal vs birmigham
Carling cup
Gibbs anafanya kosa dk ya 90 ,tunafungwa goli
Na wewe pia mkuu acha ipenye pia, isije onekana nampa huyo mwenzako tuMimi iliyoniuma ni ile 3-1 dah noma Sana. Siku ile man utd angeshinda mji usingekalika tulijiandaa vya kutosha kushangilia.
Mkuu hata mimi nimeisema hiyo. Zile za barca nilikuwa najua tunaenda kufungwa so haikuwa tatizo kwangu. Ila hiyo bana acha tu.Luis Nani red card, Man utd 1 - 2 Real Madrid, Ile kadi nyekundu iliniumiza sana [emoji21]
Me zile ziliniuma ila sio kiivyo koz tulistahili kufungwa wale barcelona walikuwa [emoji91][emoji91][emoji91] wangeifunga timu yoyote ambayo wangekutana nayo sio sisi tu, Daah ila ile red card sitokujajaga kuisahau, iliniumiza sana game ilikuwa yetu kabisa..Mkuu hata mimi nimeisema hiyo. Zile za barca nilikuwa najua tunaenda kufungwa so haikuwa tatizo kwangu. Ila hiyo bana acha tu.
Siku ambayo Sir. Alex anatetemeka mikono na menoMan u vs Barcelona
Uefa final...zote mbili....hakikaa hakuna muda kwenye Mpira nliumia kama huu
Chelsea vs Barcelona 2009 UEFA..Iniesta anasawazisha..da ilikuwa noma
usikumbushe vitu vya uongoGoli kpa wa arsenal kupewa kadi nyekundu dk za mapema wakiwa wanacheza na barcelona fainali na ikapgwa penalt,mech nyingne ni arsenal vs liverpool,arsenal walifugwa kipind cha kwanza magor kama 4 ilikuwa 2014