Tukio gani la football liliwahi kukutoa machozi

Tukio gani la football liliwahi kukutoa machozi

Nakumbuka goli la the blues lilifungwa na Essien na Barca walikuwa hawajapiga shuti lolote kwenye lango la Chelsea, ila hilo la Iniesta ambalo lilizaa goli. England Chelsea ndo anamweza Barca
nahisi essien anakumbuka sana lile goli daaa so sad
 
Man u vs Barcelona

Uefa final...zote mbili....hakikaa hakuna muda kwenye Mpira nliumia kama huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha ipenye mkuu
 

Attachments

  • 1476123887116.jpg
    1476123887116.jpg
    23.1 KB · Views: 26
Luis Nani red card, Man utd 1 - 2 Real Madrid, Ile kadi nyekundu iliniumiza sana [emoji21]
 
Man u vs Barcelona

Uefa final...zote mbili....hakikaa hakuna muda kwenye Mpira nliumia kama huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na hii pia dozi ya mwisho, acha ipenye mkuu
 

Attachments

  • 1476123949404.jpg
    1476123949404.jpg
    38.7 KB · Views: 26
  • Thanks
Reactions: PNC
Mimi iliyoniuma ni ile 3-1 dah noma Sana. Siku ile man utd angeshinda mji usingekalika tulijiandaa vya kutosha kushangilia.
Na wewe pia mkuu acha ipenye pia, isije onekana nampa huyo mwenzako tu
 

Attachments

  • 1476124078916.jpg
    1476124078916.jpg
    38.7 KB · Views: 27
  • Thanks
Reactions: PNC
Mechi ya Tanzania 0 - 5 Brazil niliumia sana, Ila nikaumia zaidi anko ngassa alivokosa goli la wazi kabisa
 
Hii ya juzi ya Serengeti boys, nilikuwa na hamu sana iende Madagascar yaan nilikuwa na hisia kweli kweli!

Kilichotokea Kongo Brazzaville ndo kilinitoa jasho jumapili iliyopita.

Nilikuwa nimekaa tu nasubiri kusikia Serengeti wamepita, mida ya saa moja jioni nasikiliza E- sport Kitenge akasema bado kidogo mpira uishe na matokeo ni 0-0.

Nikaanza kuzunguka zunguka ili muda uishe, baadae Kitenge akasema mpira umeisha na matokeo yamebaki vile vile.

Nikafurah sana, nikaingia kwenye mtandao nikakuta hivyo hivyo nikafurah sana.

Sasa, ilipofika saa mbili nikiwa nasikiliza redio moja ya huku mkoani, mtangazaji wa michezo akasema tumeshindwa kufuzu.

Nikampotezea nikajua amejikoroga, lakini akazidi kusema, nikasema ngoja nirudi tena kwenye mtandao, looh!

Nikawa bado siamini amini, saa tatu clauz wakaongea na Bakari Shime, jasho lilinitoka.

Tangu siku hiyo sina hamu na mpira sina kabisa. Sitaki tena mambo ya mpira.
 
Mkuu hata mimi nimeisema hiyo. Zile za barca nilikuwa najua tunaenda kufungwa so haikuwa tatizo kwangu. Ila hiyo bana acha tu.
Me zile ziliniuma ila sio kiivyo koz tulistahili kufungwa wale barcelona walikuwa [emoji91][emoji91][emoji91] wangeifunga timu yoyote ambayo wangekutana nayo sio sisi tu, Daah ila ile red card sitokujajaga kuisahau, iliniumiza sana game ilikuwa yetu kabisa..
 
Goli kpa wa arsenal kupewa kadi nyekundu dk za mapema wakiwa wanacheza na barcelona fainali na ikapgwa penalt,mech nyingne ni arsenal vs liverpool,arsenal walifugwa kipind cha kwanza magor kama 4 ilikuwa 2014
 
Nimekuwa nikiipenda timu ya taifa ya Ujerumani tokea 2002 world-cup kwasababu ya Oliver Khan. Japo nilikuwa bado mdogo ila nililia Ujerumani walivyo poteza...Anyway Brazil wali deserve so haikuniuma kivile.
Niliumia sana japo sikulia 2006 baada ya Ujerumani kulala dakika za mwishoni 2:0 kwa Italia... Pia niliumia bayern alipopoteza kwa Chelsea 2012 Alianz Arena. Nilikuwa Form 6 boarding school. Nilichanganyikiwa na kesho yake nilipewa suspension kwasababu nlikataa kuamka asubuhi
Dah! Naipenda sana mpira wa Mjerumani. Siku ile ya fainali 2014 DE dhidi ya Argentina nilishindwa kuangalia extra time kwasababu ya presha
 
Goli kpa wa arsenal kupewa kadi nyekundu dk za mapema wakiwa wanacheza na barcelona fainali na ikapgwa penalt,mech nyingne ni arsenal vs liverpool,arsenal walifugwa kipind cha kwanza magor kama 4 ilikuwa 2014
usikumbushe vitu vya uongo
 
Arsenal wenger miaka zaidi ya minane bila taji la EPL daa
 
Mimi ningependa nieleweshwe kidogo tu hasa hapo kwenye tukio la pili la mleta uzi..

Hivi kuna uhusiano gani kati ya kugombea kupiga penalt na mara anapoachiwa anaeng'ang'ania kukosa?

Hii nimeiona kwa Gyan..nikaona tena juzi kwa lemela na son..
 
Fainali ya uefa champions league jijini Istanbul mei 2005 kati ya Liverpool fc na AC Milan, hadi half time lLiverpool kashafungwa 3 kwa 0. Lakini kilichotokea baadaye ni kwamba Liverpool ilisawazisha na kupata ushindi kwa mikwaju ya penati. lile tukio lilinitoa machozi kwa kweli. Lakini tofauti ni kwamba machozi yenyewe yalikuwa ya furaha.
 
Back
Top Bottom