Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbukukumbu zako Bado matokeo ilyalikuwa ni 1-5 tulifungwa sio bila maana goli la Tanzania la kichwa lilishangiliwa kwa nguvu sana maana kikwete alinyenyuka kana kwamba tumeshinda game... Ile mechi hakuna aliyeumia maana wote tulijua tunakula kichapo tuMechi ya Tanzania 0 - 5 Brazil niliumia sana, Ila nikaumia zaidi anko ngassa alivokosa goli la wazi kabisa
Pondamali alichukuliwa hatua gani???[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]Ligi ya kuku mtaanini kwetu {2006 Tabora}, pale tumeshinda fainali tujinyakulie kuku, lakini wababe wa timu pinzani walimnyonga kuku pale pale uwanjani... [emoji27]
weka head to head tangu waanze na ikitokea yokobus kaiongoza BARCA iwe kimagol au kwa kuifunga MIMI NAHAMIA THE BLAUZBarca anateseka sana akikutana na blues hata messi anajua hajawai kufunga hata penalty japokuwa alipata nafasi ya kupiga
NB:Siku Messi akiifunga Chelsea kwenye uefa ntauzunika sana
Obafemi Martins akawekaArsenal vs birmigham
Carling cup
Gibbs anafanya kosa dk ya 90 ,tunafungwa goli
Dah yani wote tungekua kama wewe hizi timu zetu za kina Majimaji zingekua mbali sana.Pamba vs Malindi Abdu Malaika anafunga goli la penati golikipa marehemu Paul Rwechungura anaenda upande mwingine ma mpira unaenda upande mwingineo Malindi wanatawazwa ubingwa Wa muungano... Mji wa mwanza unakuwa kimya tupu.. Nilisikiliza on radio chozi lilinitoka.... Ndio my team sipendi Yanga Wala Simba... Ila Red star au nyota nyekundu niliipenda pia
Mwanaume huyo hujui??INAONEKANA HUMU WENGI WAMEUMIZWA NA BARCA[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]