PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
natambua mkuu kuwa huyo ndiye kiboko yaoMwanaume huyo hujui??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natambua mkuu kuwa huyo ndiye kiboko yaoMwanaume huyo hujui??
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Senegal vs uturuki 2002 world cup Japan /korea s. Mansiz anafunga goli extra time na mpira unakwisha hapo hapo. Ghana vs Uruguay, gyan anakosa penalti dk za mwisho WA SA 2010. Tanzania vs Zambia fainali za mataifa ya Africa kwa wachezaji wa ndani 2009.
kuna pesa leo mkuu njoo kule upate tipsJuventus kutoka draw na kusababisha nikapoteza hela ya matumizi chuoni 2013
Mwenzio ile siku nilikuwa na kibunda cha tiketi na niliwaliika jamaa kutoka Morogoro kuja kucheck ile game.Qualifier match Tanzania Vs Mozambique... Itukagongwa goli dk ya kwanza,... Nilivua Tshirt ya serengeti nikatoka uwanjani nikarudi zangu pugu.
Ndio mara ya kwanza na ya mwisho kuwa mshabiki mnazi wa mpira, nimebaki kuwa mwangaliaji tu tangu siku hiyo sina tena mhemko
Kuna pahala umesema PAN AFRICAN, na baadae ukasema AFRICAN SPORTS. Kwa kuwa unamzugumzia VICTOR NKANWA, bila shaka ni AFRICAN SPORTS ya TangaMwaka 1989 shamba la bibi yanga na pan AfricAn ilikuwa ile game yanga akishinda ana chukua Kombe ,wakati yanga ana ongeza moja bila dakika Za majeruhi juma pondamali alidaka mpira Kama kawaida yake mbwembwe nyingi aka mrushia mpira Kwa nyuma victor mkanwa mshambuliaji hatari wa African sport hakika aligeuka fasta na kusawazisha gori,baada ya hapo mpira ukaisha na Simba bingwa yanga tuka ludi na udhuni na Tishety zetu yanga bingwa 1989
Kuna pahala umesema PAN AFRICAN, na baadae ukasema AFRICAN SPORTS. Kwa kuwa unamzugumzia VICTOR NKANWA, bila shaka ni AFRICAN SPORTS ya Tanga
Mkuu hiyo timu nilikuwa naifeel sana... Primary ilikuwa ni issue kuchezea upande Wa Yanga au Simba so nilikuwa neutral leo nikichezea Simba kesho Yanga nilikuwa lazima nibadilishe upande... Japo wengine walikasilika na nikaona vipi sichezi maana kufunga kwangu ilikuwa ni lazima nilitamani siku moja niichezee Pamba tatizo mkoa tofauti... Niliishi ila Pamba kila walipokuwa wakija Dar mazoezi walikuwa wakichezea Mnazi mmoja Asubuhi lazima niwacheki and then niende shule kile kikosi cha kina Marshah timu nzima nilikuwa nawaona yaani ilikuwa raha burudani...Dah yani wote tungekua kama wewe hizi timu zetu za kina Majimaji zingekua mbali sana.
Uli bet nini?Mimi ile ya Suarez kudaka mpira nilishangilia sana
Mkuu hiyo timu nilikuwa naifeel sana... Primary ilikuwa ni issue kuchezea upande Wa Yanga au Simba so nilikuwa neutral leo nikichezea Simba kesho Yanga nilikuwa lazima nibadilishe upande... Japo wengine walikasilika na nikaona vipi sichezi maana kufunga kwangu ilikuwa ni lazima nilitamani siku moja niichezee Pamba tatizo mkoa tofauti... Niliishi ila Pamba kila walipokuwa wakija Dar mazoezi walikuwa wakichezea Mnazi mmoja Asubuhi lazima niwacheki and then niende shule kile kikosi cha kina Marshah timu nzima nilikuwa nawaona yaani ilikuwa raha burudani...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu uliona dunia imekua nyekundu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Juventus kutoka draw na kusababisha nikapoteza hela ya matumizi chuoni 2013