Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tukiwa tunaaga mwaka 2021, sio vibaya tukakumbushana matukio ya kimichezo yaliyotikisa mwaka, tukio lipi la kimichezo hutolisahau mwaka 2021?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa ni kiazi matukio yako yote hayajifichi kuhusu upande unashabikia.Acha niweke statistics za ligi ya kwetu
1. Mayele kwenye mechi ya mbeya kwanza alihamasisha mashabiki wamshangilie katika moment ambayo hajafunga goli eti kwasababu alisababisha kona
2. Feisal kwenye mechi ya derby 11 dec alijiona CR7, sekunde kadhaa kabla ya mechi kuanza alienda kuwatupia jezi mashabiki wa uto, na wao wakapagawa as if wanagombania jezi ya messi, halafu mechi ilivyoanza feisal akafichika na mafans kibao wakawa wanamlaumu
3. Goli la kagere alilopiga kichwa cha usawa wa goti likua ni incredible ilikua sio rahisi kwa mchezaji wa kawaida kujiviringa kama properly shaft na kupiga header kama ile
4. Mayele alishika lakini penalty wakapewa yanga
Acha unaziAcha niweke statistics za ligi ya kwetu

Nawe mbona unaonesha indications za upande fulani ambao nimeuongelea negativelyWe jamaa ni kiazi matukio yako yote hayajifichi kuhusu upande unashabikia.
Kwani nilivyoviandika ni vya uongo?Acha unazi
Umeinanga Yanga vilivyoAcha niweke statistics za ligi ya kwetu
1. Mayele kwenye mechi ya mbeya kwanza alihamasisha mashabiki wamshangilie katika moment ambayo hajafunga goli eti kwasababu alisababisha kona
2. Feisal kwenye mechi ya derby 11 dec alijiona CR7, sekunde kadhaa kabla ya mechi kuanza alienda kuwatupia jezi mashabiki wa uto, na wao wakapagawa as if wanagombania jezi ya messi, halafu mechi ilivyoanza feisal akafichika na mafans kibao wakawa wanamlaumu
3. Goli la kagere alilopiga kichwa cha usawa wa goti likua ni incredible ilikua sio rahisi kwa mchezaji wa kawaida kujiviringa kama properly shaft na kupiga header kama ile
4. Mayele alishika lakini penalty wakapewa yanga
We jamaa ni kiazi kuliko makolo wote humu jamvini.Acha niweke statistics za ligi ya kwetu
1. Mayele kwenye mechi ya mbeya kwanza alihamasisha mashabiki wamshangilie katika moment ambayo hajafunga goli eti kwasababu alisababisha kona
2. Feisal kwenye mechi ya derby 11 dec alijiona CR7, sekunde kadhaa kabla ya mechi kuanza alienda kuwatupia jezi mashabiki wa uto, na wao wakapagawa as if wanagombania jezi ya messi, halafu mechi ilivyoanza feisal akafichika na mafans kibao wakawa wanamlaumu
3. Goli la kagere alilopiga kichwa cha usawa wa goti likua ni incredible ilikua sio rahisi kwa mchezaji wa kawaida kujiviringa kama properly shaft na kupiga header kama ile
4. Mayele alishika lakini penalty wakapewa yanga
Kolo aka mikia weweAcha niweke statistics za ligi ya kwetu

Hapana mkuu nimeelezea yaliyojitokezaUmeinanga Yanga vilivyo
SawaWe jamaa ni kiazi kuliko makolo wote humu jamvini.
Mzuka tuKolo aka mikia wewe
Yote kwa yote unaonekana ni Simba Lia liaHapana mkuu nimeelezea yaliyojitokeza
Ukisema nimeinanga yanga unaleta tafsiri mpya ionekane nimeizushia hizo statistics