Tukio gani la kimichezo hutolisahau kwa mwaka 2021?

Tukio gani la kimichezo hutolisahau kwa mwaka 2021?

Acha niweke statistics za ligi ya kwetu

1. Mayele kwenye mechi ya mbeya kwanza alihamasisha mashabiki wamshangilie katika moment ambayo hajafunga goli eti kwasababu alisababisha kona

2. Feisal kwenye mechi ya derby 11 dec alijiona CR7, sekunde kadhaa kabla ya mechi kuanza alienda kuwatupia jezi mashabiki wa uto, na wao wakapagawa as if wanagombania jezi ya messi, halafu mechi ilivyoanza feisal akafichika na mafans kibao wakawa wanamlaumu

3. Goli la kagere alilopiga kichwa cha usawa wa goti likua ni incredible ilikua sio rahisi kwa mchezaji wa kawaida kujiviringa kama properly shaft na kupiga header kama ile

4. Mayele alishika lakini penalty wakapewa yanga
PAMBANA NA MKIA FC YAKO TU
 
Makonda kiwataja wauza unga na Gwajima akamtaja [emoji23][emoji23][emoji23]hahaha
 
makolo kuingia mitini mechi dhidi ya Yanga na kusababishwa mechi kuahirishwa!
 
Back
Top Bottom