Tukio gani la kimichezo hutolisahau kwa mwaka 2021?

Acha niweke statistics za ligi ya kwetu

1. Mayele kwenye mechi ya mbeya kwanza alihamasisha mashabiki wamshangilie katika moment ambayo hajafunga goli eti kwasababu alisababisha kona

2. Feisal kwenye mechi ya derby 11 dec alijiona CR7, sekunde kadhaa kabla ya mechi kuanza alienda kuwatupia jezi mashabiki wa uto, na wao wakapagawa as if wanagombania jezi ya messi, halafu mechi ilivyoanza feisal akafichika na mafans kibao wakawa wanamlaumu

3. Goli la kagere alilopiga kichwa cha usawa wa goti likua ni incredible ilikua sio rahisi kwa mchezaji wa kawaida kujiviringa kama properly shaft na kupiga header kama ile

4. Mayele alishika lakini penalty wakapewa yanga
 
We jamaa ni kiazi matukio yako yote hayajifichi kuhusu upande unashabikia.
 
Acha unazi
 
Lionel Messi kushinda Ballon D'or ya Saba!! The Greatest ever to brace the game...
 
We jamaa ni kiazi matukio yako yote hayajifichi kuhusu upande unashabikia.
Nawe mbona unaonesha indications za upande fulani ambao nimeuongelea negatively

Hoja uliyopaswa kuja nayo ni kunithibitishia kwamba hicho nilichokiandika nimepotosha

Nimepotosha kwamba sio kweli mayele hakuhamasisha vibe kwa mashabiki wampe kongole?

Ni uongo feisal hakuwarushia jezi mashabiki wake?

Ni uongo kagere hakupiga heading ya usawa wa goti?

Ni uongo mayele kwamba mayele alishika na penalty wakapewa yanga?
 
Umeinanga Yanga vilivyo
 
We jamaa ni kiazi kuliko makolo wote humu jamvini.
 
Kolo aka mikia wewe
 
Hapana mkuu nimeelezea yaliyojitokeza

Ukisema nimeinanga yanga unaleta tafsiri mpya ionekane nimeizushia hizo statistics
Yote kwa yote unaonekana ni Simba Lia lia
 
Inshu ya emiliani Sala
Japo haikuwa this year ilihuzunisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…