Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Kwangu mimi ni the red wedding (episode ya the rains of castamere) pamoja na kifo cha Hodor.....

Naliaga kabisa kwenye hizi scenes 😭😭
images (31).jpeg

The red wedding 💔
 
John snow kupigwa Yale majambia kadhaa,nilijisikia vby sana....lingine karlees kupigwa Beto pale mwisho...nilimuelewa yule queen( Emilia Clarke)
 
Back
Top Bottom