Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

Kuna yule mwamba sjui anaitwa oberion sjui kifo chale nilimind jamaa alikua potential sana... Kitambo sana hii series
 
Kuna yule mwamba sjui anaitwa oberion sjui kifo chale nilimind jamaa alikua potential sana... Kitambo sana hii series
Alikufa kizembe.
Sema alikuwa ana mikwala sana na ni mtaalamu kwenye kutumia upanga.

Walikuwa wanamuogopa kinyama.
 
Alikufa kizembe.
Sema alikuwa ana mikwala sana na ni mtaalamu kwenye kutumia upanga.

Walikuwa wanamuogopa kinyama.
Yaah jamaa nilikua namkubali kwenye hicho kipengele tu ana mikwala ya kibabe af ana demu mkaliii
 
Kifo cha kifala cha wale kaka wawili the mountain na mwenzie....
 
hold the door.... (hodor)

bastard jon snow alivyochezea mabeto mpaka kufa

tyrion lannester kusingiziwa kesi ya kifo cha Geoffrey.... "i demand a trial by a combat"
 
Namba nisamehewe kama nipo nje ya maudhui ya mada kipande hiki cha filamu ya Titanic kimenitoa machozi na wanaume wangu wote lakini nimetokwa na machozi.
nintchdbpict000268497624-e1485887027515.jpg
 
Back
Top Bottom