Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

hold the door.... (hodor)

bastard jon snow alivyochezea mabeto mpaka kufa

tyrion lannester kusingiziwa kesi ya kifo cha Geoffrey.... "i demand a trial by a combat"
Halafu trial yake akapigana oberion.
 
Nyie hii series ndio mnaiangalia saivi au? Mbona mi matukio mengi siyakumbuki nakumbuka machache sana na hata wahusika ni wachache sana naowakumbuka.

John Snow, Middle finger mafia mbwa huyu, The Hound, Mother of Dragon, Imp, kuna yule bimkubwa aliyemfufua Jon Snow.

Umeshapita muda. Ila GOT na Breaking Bad ni moja na Series zangu 3 bora kabisa. The Night is dark and full of terrors
 
Kifo cha khaleesi...mother of dragons, huyu dada nilikua namuadmire sana
Alikuwa ambitious sana, alitaka akamate Dunia nzima, Snow akamkata Break fasta...yule dogo wa pili kutoka mwisho wa Lobb Stark kuwa mlemavu muda mrefu nilimind mnooo!!

Kimsingi Lannisters walistahili waliyoyapata sabb ya tamaa lkn Karlees alikosea kuuchoma mji mzima, angeua yule Queen na washirika wake akareign hapo

Nilimuadmire Sam the intellectual, yule Binti mdogo wa Lobb Stark, aisee hakuwa mlegevu, yule pimbi Malayalkn alikuwa na busara na akili nyingi Sana...btn nasikia kuna mwendelezo wake ulitoka mwaka Jana, ni kweli?
 
Back
Top Bottom