Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
π₯Ίπ₯ΊOya we the rain of castanmere sio pw robo 3 ya familia ya ned stark inateketea kwa lord Bolton
Jon snow angekufa tuJohn snow kupigwa Yale majambia kadhaa,nilijisikia vby sana....lingine karlees kupigwa Beto pale mwisho...nilimuelewa yule queen( Emilia Clarke)
πKifo cha lady lyana mormont katika ile vita ya white walkers
πKifo cha Sheeren kwa kuchomwa moto aisee, na kifo cha Daenerys Targaryen
Littlefinger mtu mbaya sana.Kwangu mimi ni the red wedding (episode ya the rains of castamere) pamoja na kifo cha Hodor.....
Naliaga kabisa kwenye hizi scenes [emoji24][emoji24]
View attachment 2853010
The red wedding [emoji174]
Ramsay πKunyogwa kwa Eddard Stark
Red wedding.
Battle of bastards (hasa vitendo vya yule bastard son)
Kifo cha ned, Unexpected eventKunyogwa kwa Eddard Stark
Red wedding.
Battle of bastards (hasa vitendo vya yule bastard son)
Na yeye aliipataLittlefinger mtu mbaya sana.
Matukio yote ya kuuwawa Stark family yeye ndio alikuwa nyuma.
ππKifo cha Robb Stark
Una utani na Jon snow?? πKifo cha demu wa john snow s