Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kale ka demu kalikuwa kazuri sana alafu ndo mke wake wa ukweli in real lifeUna utani na Jon snow?? π
πWanaume wa dar wanavyojiliza kwenye hizo series Sasa[emoji1][emoji1][emoji1]
Nyie wapuuzi mtakua lini?
Nilikuwa napend sauti yake πΉπΉKale ka demu kalikuwa kazuri sana alafu ndo mke wake wa ukweli in real life
JobTrueTrue ππ€£π€£Wanaume wa dar wanavyojiliza kwenye hizo series Sasa[emoji1][emoji1][emoji1]
Nyie wapuuzi mtakua lini?
Mkuu kwa hii avatar yako najua tu Chuno na wewe kuna sehem zilikuliza vya kutosha πΉπΉWanaume wa dar wanavyojiliza kwenye hizo series Sasa[emoji1][emoji1][emoji1]
Nyie wapuuzi mtakua lini?
Jamaa alipasuliwa kibebea meno/shamba la nywele π₯ΊKuna yule mwamba sjui anaitwa oberion sjui kifo chale nilimind jamaa alikua potential sana... Kitambo sana hii series
Mwamba alikua naaneno sanaJamaa alipasuliwa kibebea meno/shamba la nywele π₯Ί
Alikufa kizembe.Kuna yule mwamba sjui anaitwa oberion sjui kifo chale nilimind jamaa alikua potential sana... Kitambo sana hii series
Ndio kilichomponzaMwamba alikua maneno sana
Yaah jamaa nilikua namkubali kwenye hicho kipengele tu ana mikwala ya kibabe af ana demu mkaliiiAlikufa kizembe.
Sema alikuwa ana mikwala sana na ni mtaalamu kwenye kutumia upanga.
Walikuwa wanamuogopa kinyama.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu kwa hii avatar yako najua tu Chuno na wewe kuna sehem zilikuliza vya kutosha [emoji81][emoji81]
Kabisa mie nilimpenda sana alivofariki niliumia mnoNilikuwa napend sauti yake πΉπΉ
πhold the door.... (hodor)
bastard jon snow alivyochezea mabeto mpaka kufa
tyrion lannester kusingiziwa kesi ya kifo cha Geoffrey.... "i demand a trial by a combat"
π€£Kifo cha kifala cha wale kaka wawili the mountain na mwenzie....