Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
-
- #41
๐ฅบ๐ฅบNamba nisamehewe kama nipo nje ya maudhui ya mada kipande hiki cha filamu ya Titanic kimenitoa machozi na wanaume wangu wote lakini nimetokwa na machozi.View attachment 2859642
Nilimchukia jon snow kwa hili ๐ญKifo cha khaleesi...mother of dragons, huyu dada nilikua namuadmire sana
Halafu trial yake akapigana oberion.hold the door.... (hodor)
bastard jon snow alivyochezea mabeto mpaka kufa
tyrion lannester kusingiziwa kesi ya kifo cha Geoffrey.... "i demand a trial by a combat"
๐คฃ๐คฃ๐[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Dae Gil anapiga mapigano Kama enzi zangu miaka ya 80 pale lango la jiji magomeni
Halafu ndo MKE wake kweliKifo cha demu wa john snow season 5 ambae aliitwa kama Ygritte
ExactlyHalafu ndo MKE wake kweli
Walioana mpk now wanandoa
Wameoana kwenye real life mkuuKifo cha demu wa john snow season 5 ambae aliitwa kama Ygritte
Najua kakaWameoana kwenye real life mkuu
Najua kakaWameoana kwenye real life mkuu
Snow proved to her that he do know something ๐Halafu ndo MKE wake kweli
Walioana mpk now wanandoa
Mkuu kwa hii avatar yako najua tu Chuno na wewe kuna sehem zilikuliza vya kutosha ๐น๐น
๐คฃ๐คฃNmechekaaaaa๐๐๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃNamba nisamehewe kama nipo nje ya maudhui ya mada kipande hiki cha filamu ya Titanic kimenitoa machozi na wanaume wangu wote lakini nimetokwa na machozi.View attachment 2859642
Alikuwa ambitious sana, alitaka akamate Dunia nzima, Snow akamkata Break fasta...yule dogo wa pili kutoka mwisho wa Lobb Stark kuwa mlemavu muda mrefu nilimind mnooo!!Kifo cha khaleesi...mother of dragons, huyu dada nilikua namuadmire sana