Tukio gani limekukuta la kusahau kitu ulichokuwa unataka kufanya na unakijua hadi ukajicheka mwenyewe baada ya kumbukumbu kurejea

Tukio gani limekukuta la kusahau kitu ulichokuwa unataka kufanya na unakijua hadi ukajicheka mwenyewe baada ya kumbukumbu kurejea

Kwa hiyo unataka kuniambia na Mimi ni Mzee! Mbona nilishawahi kusahau neno nakupenda nilipokutana na demu nikabaki kusema "naku naniliu sana". Demu alibaki kushikwa mbavu.
Hiyo sio usahaulifu, ni kiwewe cha tukio ama mshituko uliokuchanganya.
 
Katika maisha kuna muda akili zetu zinasahau vitu vidogo vidogo tunavyovijua ila baada ya dakika chache kumbukumbu hurudi.

Kuna stori moja nilishawahi kuisoma humu JF mtu mmoja alienda msituni kutafuta kuni na shoka lake begani lakini alipofika kule alilala kwa dakika 15, alipoamka alianza kutafuta shoka lake aina ya inkosekaz kuanzia saa 1 asubuhi hadi sa 11 jioni kumbe shoka alikuwa nalo begani, ndiyo maana kuna msemo mmoja unasema "utakiona cha mtema kuni".

Binafsi nikiwa mdogo nilitumwa dukani kununua kilo ya mchele, nilipofika nikasahau neno 'kilo' nilikaa takribani dakika 15 kulikumbuka hili neno lakini nikashindwa, nikamua kuingia dukani nikamwambia muuza duka anipe lita moja ya mchele jamaa alinielewa lakini alicheka mpaka akaanza kukohoa.

Ahlan wasahlan!
Nimecheka sana🤣🤣 lita ya mchele
 
Nilipokuwa form four kule Kilimanjaro tulitumwa na mwalimu kwa mama mmoja wa kichaga tulipofika mama alitupa chakula tukaanza kula, tukamaliza sahani ya Kwanza then ya pili, tulipomaliza la tatu tukahisi kumetosheka lakini tulisahau neno 'KUSHIBA' (tumeshiba). Sasa Yule mama alipoenda kuongeza chakula tukawa tunashauriana kuhusu neno tutakalotumia kumweleza kutosheka kwetu, kabla hatujamaliza kujadiliana mama kasharudi na sahani ya msosi nalo tukalimaliza kishingo upande. Alipoenda kuongeza msosi rafiki yangu akaniambia tumwambie 'TUMEJAA' ila mimi nilikataa😂😂. Likaletwa sahani lingine takalimaliza sasa alipoenda kuchukua lingine wakati anarudi na chakula nikasema aa bas...bass...basss huku nikionesha ishara kwa mkono.

Hatimaye
tukasalimika dhidi ya Kula.
🤣😂
 
Mi nilimvua mwanamke nguo nikasahau sehemu ambayo uke unapatikana, yaani niliutafuta chini ya kidevu chake, kwenye uvungu wa matiti yake yaliyolala nilipokuja kukumbuka kuwa unapatikana katikati ya mapaja tayari nimeshamwaga.
Nilijiona fala siku ile mpaka nikatunga msemo wangu unaosema utakiona cha mtafuta Pussy.
Hapana wewe tatizo lako linaonekana ni kubwa
 
Back
Top Bottom