Tukio gani limekukuta la kusahau kitu ulichokuwa unataka kufanya na unakijua hadi ukajicheka mwenyewe baada ya kumbukumbu kurejea

Kwa hiyo unataka kuniambia na Mimi ni Mzee! Mbona nilishawahi kusahau neno nakupenda nilipokutana na demu nikabaki kusema "naku naniliu sana". Demu alibaki kushikwa mbavu.
Hiyo sio usahaulifu, ni kiwewe cha tukio ama mshituko uliokuchanganya.
 
Nimecheka sana🤣🤣 lita ya mchele
 
🤣😂
 
Hapana wewe tatizo lako linaonekana ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…