Tukio gani umewahi kufanya ukweni na hutokuja kulisahau?

Weee 🤣🤣
Ili warombo tukusamehe unatakiwa upike pipa 36 za mbege
 
 
Apike na dadii .ile nyeupe.
Ile Dadii aisee Kuna siku nilienda Olili huko kwenda tu kuona kaburi la Aqwilina aliyepigwa risasi. Nikiwa pale na mshikaji na baba mdogo nikawapiga biere sasa Kuna demu alikuwa anakunguta Dadii akidhania ni maji. Tulikaa mpaka jioni akawa anapiga kwikwi balaa😂 sie poa kabisa Ile
Niliondoka pale Wala sikumchukua yule demu aliona nimemdharau kinyama. Alichukia kwa nini nimempigisha pombe za kutosha na sijaondoka nae. .

Mungu kaniepusha sana na pombe ingawa baa nawanunulia watu ila mie hata Sina mpango nazo kabisa. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…