Tukio hili la SIMBA linapingana na kauli ya Wallace Karia

Tukio hili la SIMBA linapingana na kauli ya Wallace Karia

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Rais wa TFF kwenye mkutano wa ARUSHA ameviomba vilabu kupeana support vinapocheza mechi za kimataifa
hata hivyo wakati wa tamasha la SIMBA Day

Mwanamuziki TUNDAMAN aliingia na watu wake wakaendesha misa ya mzaha kuibeza Yanga kufungwa na Vipers mwaka huu.

Alipotoka ndani ya jeneza akaimba wimbo maalum ya kkusheherekea YANGA kufungwa na kapumbu mwaka jana na ambazo hizo zote ni mechi za kimataifa.

Niwaombe watani zanngu wa Simba acheni kuwashobokea WAGENI
 
Wale walikuwa wanasubiri wageni terminala na kuvaa jezi zao ni shobo gani dundo au,

20220810_220827.jpg
 
Back
Top Bottom