Mkurya mweupe
JF-Expert Member
- Aug 10, 2023
- 239
- 817
😊😊 ndiyo ikoje hiyo.Kuna watu watakuja na mikasa inayofanana na ya wana wa Israel,Ngoja tuwasubiri
2000's mwanzonikusubiri mpambano wa ngumi Kati ya EVENDER NA MIKE TYSON those days aisee
2000's mwanzoni noma sana
halafu history 🤣🤣Niliwahi kukesha nikisoma halafu matokeo nikaishia kupata karai bora ningelala tu
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mkasa upi ,fungukaNilikua na msala flan wamchongo huko nishatokomea kusikojulikana nikapata taarifa mapoti wameibuka geto kwangu mbagala Kama 16 hivi me huko nipo zangu kwenye apartment mbezi beach licha ya kiyoyozi full na mandhari mazuri kuliko gheto Ila usingizi haukuja kabsa Ila nilikuja kuusolve msala kesho yake
Nimekuelewa , mazingira niliyokuwepo hayakuruhusuMkuu yani unasubiri kukuche ndo utoroke..?
Swala linaloitwa kutoroka huwa halisubiri muda, mtorokaji hutoroka muda wowote.. kitendo cha kusubiri huo ni uzwazwa watesi wako wanaweza kukufikia muda ambao hautarajii... Itabidi uje nikupe somo kuhusu kutoroka..
Kutoroka kunaanza na when halafu ndo inafuata how..! Hiyo how inajibiki ukiwa upo njiani halafu where inakujaga kama mzimu..[emoji28]