Tukio /kisa kilichofanya ukeshe usiku kucha bila kulala

Tukio /kisa kilichofanya ukeshe usiku kucha bila kulala

Mwanzo nilikua nachukulia masihara na mimi nikajiamini ni 'gangster' siwezi kuumizwa na vitu vidogo kama mapenzi, labda msiba na hasara kubwa ya kibiashara hata mali

Hapo tayari nisha-date karibia miaka 5+ ukiongezea na zile kuacha na kuachwa, so nikachukulia mapenzi kawaida na wanaoumia ni wajinga tu

Kumbe sikuwa nimependa bhana, nilikuwa najidanganya

Si kuna huyo manzi akanipa nachostahili, maana bora hata angeniacha ningejua moja ila baada ya kuchoshwa na vituko vyangu pamoja na kumvimbia mixer kiburi, simjali mpaka niwe na shida tena ya yale masuala ya pale kati, sometimes nasarandia videmu vingine

Alichofanya akahamishia majeshi kwa mwamba mmoja hivi mtaa wa pili tu hapo halafu akanizimia data😂

baada ya kunipotezea kwa muda nikawa namsaka sana lakini wapi, wana wakaniambia meza ishapinduliwa sa hivi huna chako we si ulimvimbia? Tayari kampata wanaependana

Ndio nikajua kweli nilitoa boko, ngoja nimbembeleze arudishe majeshi nitajirekebisha, kumbe bhana tayari ana mambo matano kama Jide na harudishi mateka asilani

Kilichoniuma siku hiyo nakatisha mitaa, nikakutana nao ana kwa ana wameongozana, manzi ananicheki na huku mchizi ananichora, dah roho iliniuma sana

Aisee mapenzi yasikie tu, sikulala kabisa ilikuwa ikifika night nakosa Usingizi kabisa yaani ile usiku silali

niliyokuwa nayasikia kwenye nyimbo yanaimbwa tu nilikutana nayo kabisa. . .

Yale mateso yalizidi mwamba alipompa kibendi yule binti, nilitaka kupasuka maana ndio basi tena, nikajiona kama sio kidume iweje nikae nae muda mrefu, kila siku ligi kuu napekua tukicheza boli ila no kibendi afu mwamba miezi kadhaa tu tayari kashamjaza bila pampu bali pipe

Dah yale maumivu naweza kuandika gazeti, nyie acheni mapenzi yasikie tu, ila nashukuru yale maumivu yalinipa roho ya chuma, japo ilinichukua miezi mingi kupona.

sasa hivi yakinitokea tayari yalishanikomaza, hivyo hata kama nitateseka ila sio kama kipindi kile.💪

NOTE: MAUMIVU YA MAPENZI YASIKIE TU, ILA USIOMBE YAKUKUTE
 
Mimi siku ambayo huwa kesho yake nina safari ya mbali huwa sipati usingizi kabisa na hata nikipitiwa huwa naota gari limeniacha hivyo nakurupuka nikicheki saa huwa nabaki najicheka tu.
Yaani hii ni tangu niko home kwa wazee mpaka niko kwangu
 
Tukio lingine nakumbuka , nilikuwa namchukulia mshikaji wangu demu wake ,sasa hyo siku huyo mshikaji akawa anatumia simu yangu kwenye betting si mtoto katuma sms ya " dear nimekumbuka penz lako tamu" jamaa alinirudishia simu bila kuongea chochote na kuondoka ,usiku nililala nawaza ukimya wa yule jamaa labda atanifata anipige panga.....sikulala aisee
 
Mwanzo nilikua nachukulia masihara na mimi nikajiamini ni 'gangster' siwezi kuumizwa na vitu kidogo kama mapenzi labda msiba na hasara kubwa ya kibiashara hata mali

Hapo tayari nishadate karibia miaka 5+ zile kuacha na kuachwa so nikachukulia kawaida wanaoumia ni wajinga tu

Kumbe sikuwa nimependa bhana, nilikuwa najidanganya

Si huyo manzi akanipa nachostahili, maana bora hata angeniacha ningejua moja ila baada ya kuchoshwa na vituko vyangu pamoja na kumvimbia mixer kiburi, simjali mpaka niwe na shida tena ya yale masuala ya pale kati, sometimes nasarandia videmu vingine

Alichofanya akahamishia majeshi kwa mwamba mmoja hivi mtaa wa pili tu halafu akanizimia data[emoji23]

baada ya kunipotezea kwa muda nikawa namsaka sana lakini wapi, wana wakaniambia meza ishapinduliwa huna chako we si ulimvimbia? kampata wanaependana

Ndio nikajua kweli nilitoa boko, ngoja nimbembeleze arudishe majeshi nitajirekebisha, kumbe bhana tayari ana mambo matano kama Jide na harudishi mateka asilani

Kilichoniuma siku hiyo nakatisha mitaa nikakutana nao ana kwa ana wameongozana, manzi ananicheki na mchizi ananichora, dah roho iliniuma sana

Aisee mapenzi yasikie tu, sikulala ilikuwa ikifika night nakosa Usingizi kabisa yaani ile usiku silali niliyokuwa naisikia kwenye nyimbo nilikutana nayo kabisa. . .

Yale mateso yalizidi mwamba alipompa kibendi yule binti, nilitaka kupasuka maana ndio basi tena nikajiona kama sio kidume iweje nikae nae muda mrefu, kila siku ligi kuu napekua tukicheza boli ila no kibendi afu mwamba miezi kadhaa tu tayari kashamjaza bila pampu bali pipe

Dah yale maumivu naweza kuandika gazeti, nyie acheni mapenzi yasikie tu, ila nashukuru yale maumivu yalinipa roho ya chuma, na ilinichukua miezi mingi kupona

Lsasa hivi yakinitokea tayari yalishanikomaza hivyo hata kama nitateseka ila sio kama kipindi kile.[emoji123]

NOTE: MAUMIVU YA MAPENZI YASIKIE TU, ILA USIOMBE YAKUKUTE

Aiii umesimulia vizuri mpka raha[emoji3] ila ukome nmefrahi ulivyoachwa ni kuburi chako
 
1.siku nmekula bet 800k kwa mara ya kwanz sikulala kutokana na furaha

2.juzi tu hapa week inaisha wife kafumania msg za mchepuko tena ukiwa unanisifia kwa mapenz ninayompa na kusifia dushe imejaa aseh huo usiku ilikuw mbaya japo usiku huo nilishinda pesa bet lkn hata sikuifurahi japo nilijielezea vzr na akanielewa

3.kombe la dunia nililiwa milion 1 aseh kmmk hii game ya german vs costa rica nikabet under 5 dakika ya 90 kai havertz msenge sana magoal mawil yameingia ht sijategemea

oya yan matukio ni mengi sana ya kuhuzunisha na kufurahisha

Sent from my SM-J337W using JamiiForums mobile app
 
Wana JF ebu tuambizane ni tukio gani lililowahi kukusibu mpaka ukawa na mawazo ukakosa usingizi kabisa ,usiku wa manane ,Kwangu Mimi.

1 .Tukio la kwanza niliwahi kukosa usingizi baada ya kupata kesi ya kumpa mwanafunzi mimba nikiwa mitaa fulani ,usiku huo ulikuwa mrefu sana ,nilisubiri sana kukuche ili niweze kutoroka na kutokomea.

2. Tukio lingine hasa ni kipind cha baba yangu anapambania uhai wake ,aisee nilikuwa silali kabisa hebu share na sisi Mikasa mingine.
Nikiwa advance pale old moshi sekondari jua lilichomoza nikiwa naliona nikiwa darasani form six PCB class of 2008
 
Hallucinations sipendi sleep paralysis siipendi hivyo nakesha na leo..pombe usipokunywa ni matakataka utayaota
 
Kwenye kulala uniambii kitu, hata kama nipo kwenye maji nitalala tu.
 
Msinikumbushe nlimpa mimba mwanafunzi mwaka huu, nikamnunulia Misoprosto sijui nimepatia, akanyws saa 2 usiku akawa ananiambie nakufa maanabdam zilimwahigaa akakwa anasikia kizunguzungu anaona. Mimi 1 haikai na 2 haikai
 
Wana JF ebu tuambizane ni tukio gani lililowahi kukusibu mpaka ukawa na mawazo ukakosa usingizi kabisa ,usiku wa manane ,Kwangu Mimi.

1 .Tukio la kwanza niliwahi kukosa usingizi baada ya kupata kesi ya kumpa mwanafunzi mimba nikiwa mitaa fulani ,usiku huo ulikuwa mrefu sana ,nilisubiri sana kukuche ili niweze kutoroka na kutokomea.

2. Tukio lingine hasa ni kipind cha baba yangu anapambania uhai wake ,aisee nilikuwa silali kabisa hebu share na sisi Mikasa mingine.
Niliwahi kukosa usingizi baada ya kuachwa kimapenzi na mtoto mzuri Buthaina
 
Siku ya kwanza kutumia simu nokia batani yenye internet kipindi hiko hakuna smartphones, kuna internet ya magumashi.

Nilikesha nadownload nyimbo ya beyonce ya m.b 3 tu kwa zaid ya masaa 3 lakin haitaki kucomplete[emoji23][emoji23].

Anyway old is gold kipindi hiko mtandao 3g/2g kufungua tu Google uone picha lazima usote mtandao speed ya kobe na kuumiza vidole kwa batani.

Wazee wa waptrick, yahoo, tubidy, wataelewa hili, kipindi hiko kudownload video ya m.b 10 ikajaa bila shida basi lazima upeleke sadaka ya shukrani kwa pasta j2[emoji23].

Watoto wa instagram+facebook hawawezi elewa hili
 
Mwanzo nilikua nachukulia masihara na mimi nikajiamini ni 'gangster' siwezi kuumizwa na vitu kidogo kama mapenzi labda msiba na hasara kubwa ya kibiashara hata mali

Hapo tayari nishadate karibia miaka 5+ zile kuacha na kuachwa so nikachukulia kawaida wanaoumia ni wajinga tu

Kumbe sikuwa nimependa bhana, nilikuwa najidanganya

Si huyo manzi akanipa nachostahili, maana bora hata angeniacha ningejua moja ila baada ya kuchoshwa na vituko vyangu pamoja na kumvimbia mixer kiburi, simjali mpaka niwe na shida tena ya yale masuala ya pale kati, sometimes nasarandia videmu vingine

Alichofanya akahamishia majeshi kwa mwamba mmoja hivi mtaa wa pili tu halafu akanizimia data[emoji23]

baada ya kunipotezea kwa muda nikawa namsaka sana lakini wapi, wana wakaniambia meza ishapinduliwa huna chako we si ulimvimbia? kampata wanaependana

Ndio nikajua kweli nilitoa boko, ngoja nimbembeleze arudishe majeshi nitajirekebisha, kumbe bhana tayari ana mambo matano kama Jide na harudishi mateka asilani

Kilichoniuma siku hiyo nakatisha mitaa nikakutana nao ana kwa ana wameongozana, manzi ananicheki na mchizi ananichora, dah roho iliniuma sana

Aisee mapenzi yasikie tu, sikulala ilikuwa ikifika night nakosa Usingizi kabisa yaani ile usiku silali niliyokuwa naisikia kwenye nyimbo nilikutana nayo kabisa. . .

Yale mateso yalizidi mwamba alipompa kibendi yule binti, nilitaka kupasuka maana ndio basi tena nikajiona kama sio kidume iweje nikae nae muda mrefu, kila siku ligi kuu napekua tukicheza boli ila no kibendi afu mwamba miezi kadhaa tu tayari kashamjaza bila pampu bali pipe

Dah yale maumivu naweza kuandika gazeti, nyie acheni mapenzi yasikie tu, ila nashukuru yale maumivu yalinipa roho ya chuma, na ilinichukua miezi mingi kupona

Lsasa hivi yakinitokea tayari yalishanikomaza hivyo hata kama nitateseka ila sio kama kipindi kile.[emoji123]

NOTE: MAUMIVU YA MAPENZI YASIKIE TU, ILA USIOMBE YAKUKUTE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pia siku ya kwanza kula mzigo. Nlitolewa bikra na bar med aisee. Nikaenda kulala kwake alikuwa mschana age ya 23 hadi 25 hivi mda huo mm ni 20yrs ndo nimemaliza f4.
Uume ulisimama ukagoma kushuka usiku kucha mpaka nikaanza kuumwa tumbo. Mdada yule alikula chuma usiku kucha asubuhi hajiwezi kila kitu uzuri nlimwambia mm sijawahi kuzagamua so alikuwa mwalimu mzuri,
Kulipokucha akaniandalia supu ya kuku tena kwa ghara yake mi sikuwa hata na chapa.
 
Siku ile usiku nilipopata taarifa kwamba Rais Magufuli hayuko tena nasi, ilikuwa mishale ya saa tano, usingizi ulikata. I'll never forget that night, The Shock!....🙌
 
Siku ile usiku nilipopata taarifa kwamba Rais Magufuli hayuko tena nasi, ilikuwa mishale ya saa tano, usingizi ulikata. I'll never forget that night, The Shock!....[emoji119]
Mweeeeh[emoji3]
 
Back
Top Bottom