Tukio /kisa kilichofanya ukeshe usiku kucha bila kulala

Pole sana mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Safari yangu ya kwanza kwenda Dar es salaam [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waptrick mzee umenikumbusha mbali saana
 
Nilikunywa gahwa kijiweni vikombe kadhaa....sikulala mpaka nasikia swalaaa...apo vop?
 
Huyo mrembo mna mawasiliamo yoyote kwa sasa?
 
1. Kufiwa na mtu wa karibu sana, ndani ya masaa 24 sikuweza kulala kabisa

2. Kusubiria alfajiri ifike nitoroke jeshini
 
Nlikunywa alkasusu nlikuwa kwenye kazi maalum inachosha balaa kesho yakenlizingua yaan nlipata usingizi saa 11:30
 
Daah kaka umenifurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…