Tukio la basi la Yanga kwenda Mo Simba Arena kule Bunju linatakiwa liondoke na watu pale Yanga

Kitendo cha kupeleka basi la Yanga Bunju kwenye uwanja wa mazoezi wa Simba huku wakijua kuwa jana yake wamewafanyia fujo ni kitendo cha hatari sana ambacho kingeweza kuleta maafa makubwa, hivi kama washabiki wa Simba wangekuwa na akili mbovu kama washabiki wa Yanga na kulitia kiberiti lile basi nani angeonekana mchokozi? Hakika jambo hili lisipite hivi hivi.Bodi ya Ligi na TFF walijumuishe tukio hili hatika kufikia hatima ya kilichotokea siku ya Jumamosi usiku pale Benjamini Mkapa Stadium.
 
Tukisema kule kuna viongozi wapuuzi na wasio na akili kupita wote waliowahi kuongoza yanga wenyewe wanakuja juu
 
Mambo ya ajabu sana, utani unabaki kwa mashabiki, siamini kama management nao wanafanyiana utani.
Kama walikusanya mabaunsa ndo washindwe kumwambia dereva peleka bus bunju, unadhani dereva alijiamulia tu kuwasha chuma akashika uelekeo wa bunju na kupiga picha
 
Usipangie njia za Magari ya Yanga kupita. Ishi na simba yako
 
Endeleeni kukabidhi watoto waendeshe timu muone mtafika wapi
😂😂Unaishi kwq dada yako na shemeji yako anambonda dada yako... Afu humu jf unajifanya kuwa hasira za kipuuzi.... Haya mpige kwanza shemejio😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…