Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Hii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.
Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya Rais kumpisha binti akae kiti cha rais ni kukubali kuwa Serikali inatambua elimu itolewayo haina viwango ndio maana alichokifanya yule binti kimekuwa nje na mategemeo yao. Yaani ni wazi viongozi wanatarajia watoto wanaohitimi shule za serikali wasiwe na uwezo mkubwa kujenga hoja na kuwasilisha hoja zao.
NB: Huu ni mtazamo wangu kama unaona tofauti ni sawa pia.