Tukio la binti aliekalia kiti cha rais ni aibu kubwa

Rais wanakuja na kuondoka
Sioni kosa kubwa hapo kwani ni Uzalendo kuwa mtu yeyote anaweza kukikalia hicho kiti
 
Hii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.

Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya Rais kumpisha binti akae kiti cha rais ni kukubali kuwa Serikali inatambua elimu itolewayo haina viwango ndio maana alichokifanya yule binti kimekuwa nje na mategemeo yao. Yaani ni wazi viongozi wanatarajia watoto wanaohitimi shule za serikali wasiwe na uwezo mkubwa kujenga hoja na kuwasilisha hoja zao.

NB: Huu ni mtazamo wangu kama unaona tofauti ni sawa pia.
kila ki2 mnapinga tu!!! hiyo aibu imtoka wapi???.....mbona ni jambo la kawada sana!!!!,,,,,sometimes mnaboa,,,,,,,,yaaani mnapinga kilaki2!!,,,,,,MBUZI!!!
 
Asante; Umeudhika na kukereka kama mimi nilivyoudhika. Huwa natamani sana kuwauliza hao waleta hoja hiyo muflis; kwani hicho kiti kikizeeka au kupitwa na wakati huwa kinafanywaje - hakitupwi au ni nyara mojawapo ya Serikali?Kina upekee gani? Kwani yule mtoto aliyekikalia (tena kwa kuruhusiwa na kwa dk chache sana) aliacha hapo makalio yake kwamba inasababisha sasa Rais hawezi / hatoenea kukaa hapo tena? Dah! Wabongo! Waswahili! Ni shidaaaa.
 
bro!!!,,,wanakera sana!!!!!!!!,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom