Huna facts bro, sijakaririshwa nimesoma elimu ya zamani kabla private shcool hazijaanza kutawala. Nimesomesha so najua naongelea nini.
Private schools wakazia sana uelewa, mazingira, support. Is why wanachukua wale walimu bora ile cream, even wanafunzi cream, hawachukui ilimradi. Watoto pale hawafaulu by bahati mbaya, ile ni investment
Huwez faulu without kuelewa nini unaenda kujibu
else public school zingekuwa zinakimbiza sana since uelewa ndio point yako lakini matokeo yanakupinga
Tatizo la gov schools ni business as usual, (na mm nimepita huko). So nafaham
Kusema eti ukifaulu gov school chuo ndio utakimbiza sana ni ujinga sana.
Haikupi guarantee kuwa chuo utafaulu, na haman records zinaonyesha hivyo else unajifariji kijana