Aione LIKUDHii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.
Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya Rais kumpisha binti akae kiti cha rais ni kukubali kuwa Serikali inatambua elimu itolewayo haina viwango ndio maana alichokifanya yule binti kimekuwa nje na mategemeo yao. Yaani ni wazi viongozi wanatarajia watoto wanaohitimi shule za serikali wasiwe na uwezo mkubwa kujenga hoja na kuwasilisha hoja zao.
NB: Huu ni mtazamo wangu kama unaona tofauti ni sawa pia.
Huna facts bro, sijakaririshwa nimesoma elimu ya zamani kabla private shcool hazijaanza kutawala. Nimesomesha so najua naongelea nini.Unajiita detective afu kichwani umekaririshwa!! Kanisome tena!!!
Shuleni kuna stadi nyingi zinafundishwa zaidi ya kufaulu mitihani.
Detective anamelala lindo, bado ana wengeNini kimetokea, nilikuwa nimelala
Kalale kwanza!! Wenge likikutoka njoo ujisomeHuna facts bro, sijakaririshwa nimesoma elimu ya zamani kabla private shcool hazijaanza kutawala. Nimesomesha so najua naongelea nini.
Private schools wakazia sana uelewa, mazingira, support. Is why wanachukua wale walimu bora ile cream, even wanafunzi cream, hawachukui ilimradi. Watoto pale hawafaulu by bahati mbaya, ile ni investment
Huwez faulu without kuelewa nini unaenda kujibu
else public school zingekuwa zinakimbiza sana since uelewa ndio point yako lakini matokeo yanakupinga
Tatizo la gov schools ni business as usual, (na mm nimepita huko). So nafaham
Kusema eti ukifaulu gov school chuo ndio utakimbiza sana ni ujinga sana.
Haikupi guarantee kuwa chuo utafaulu, na haman records zinaonyesha hivyo else unajifariji kijana
Uko sahihi. Sekondari kunahitaji uelewa si kukariri pekee. Huko hata mtihani ulikishwe vipi kama hujui unachemka tu. Lakini ikatokea pepper limevujishwa kwa wanafunzi halafu wanafunzi hao wakapata A zote basi hao ni vichwa sana. Ukilikisha pepper kwa mbumbumbu atapa multiple choice na matching items tu itakayomfanya apate D section zingine atachemka tu.Huna facts bro, sijakaririshwa nimesoma elimu ya zamani kabla private shcool hazijaanza kutawala. Nimesomesha so najua naongelea nini.
Private schools wakazia sana uelewa, mazingira, support. Is why wanachukua wale walimu bora ile cream, even wanafunzi cream, hawachukui ilimradi. Watoto pale hawafaulu by bahati mbaya, ile ni investment
Huwez faulu without kuelewa nini unaenda kujibu
else public school zingekuwa zinakimbiza sana since uelewa ndio point yako lakini matokeo yanakupinga
Tatizo la gov schools ni business as usual, (na mm nimepita huko). So nafaham
Kusema eti ukifaulu gov school chuo ndio utakimbiza sana ni ujinga sana.
Haikupi guarantee kuwa chuo utafaulu, na haman records zinaonyesha hivyo else unajifariji kijana
vipi lakini walikua wanamwelewa anachokisema..? ama kazi kupiga makofi tuKuongea mbele ya umati si kazi rahisi lakini kuongea mbele ya mheshimiwa Rais na viongozi waandamizi wengine ni kazi ngumu zaidi.
Yule binti alionyesha ujasiri anaopaswa kuwa nao kiongozi hasa kutoa hotuba ukiwa thabiti. Wanafunzi wa aina yake ni wachache tangu enzi na ndio maana wakipatikana moja kwa moja anachaguliwa kuwa Head girl. Mheshimiwa Rais kumpisha kiti akae sio kosa ni encouragement kwa binti ndio viongozi tunaowategemea hapo baadae. Waandishi wa habari kumhoji yeye sio dhambi kwa kuwa alivuta usikivu wa wengi.
Mkuu Kwan unadhan yule Binti alichaguliwa tu randomly?.Hii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.
Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya Rais kumpisha binti akae kiti cha rais ni kukubali kuwa Serikali inatambua elimu itolewayo haina viwango ndio maana alichokifanya yule binti kimekuwa nje na mategemeo yao. Yaani ni wazi viongozi wanatarajia watoto wanaohitimi shule za serikali wasiwe na uwezo mkubwa kujenga hoja na kuwasilisha hoja zao.
NB: Huu ni mtazamo wangu kama unaona tofauti ni sawa pia.
Alieleweka mkuuvipi lakini walikua wanamwelewa anachokisema..? ama kazi kupiga makofi tu
HujitambuiHii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.
Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya Rais kumpisha binti akae kiti cha rais ni kukubali kuwa Serikali inatambua elimu itolewayo haina viwango ndio maana alichokifanya yule binti kimekuwa nje na mategemeo yao. Yaani ni wazi viongozi wanatarajia watoto wanaohitimi shule za serikali wasiwe na uwezo mkubwa kujenga hoja na kuwasilisha hoja zao.
NB: Huu ni mtazamo wangu kama unaona tofauti ni sawa pia.
Mkuu Kwan unadhan yule Binti alichaguliwa tu randomly?.Hii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.
Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya Rais kumpisha binti akae kiti cha rais ni kukubali kuwa Serikali inatambua elimu itolewayo haina viwango ndio maana alichokifanya yule binti kimekuwa nje na mategemeo yao. Yaani ni wazi viongozi wanatarajia watoto wanaohitimi shule za serikali wasiwe na uwezo mkubwa kujenga hoja na kuwasilisha hoja zao.
NB: Huu ni mtazamo wangu kama unaona tofauti ni sawa pia.
Huu uongo wa kizamani sana, hamnaga kitu kama hicho.Private wanafundisha kujibu mitihani sio syllabus oriented!! Ndio maana watoto wengi waliosomea Private schools vyuoni wana disco sound na WhatsApp
Ila Tanzania ina mambo yakipuuz sana πππππ, wewe ni Lukas umekuja kwa staili ingine au? Nimecheka ππππMiguu ya mamaView attachment 3258026
Tupia kapicha bas kakusindikiza uziHii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.
Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya Rais kumpisha binti akae kiti cha rais ni kukubali kuwa Serikali inatambua elimu itolewayo haina viwango ndio maana alichokifanya yule binti kimekuwa nje na mategemeo yao. Yaani ni wazi viongozi wanatarajia watoto wanaohitimi shule za serikali wasiwe na uwezo mkubwa kujenga hoja na kuwasilisha hoja zao.
NB: Huu ni mtazamo wangu kama unaona tofauti ni sawa pia.
Ni kweli hoja yako iko na mantiki.Hii ni aibu kubwa sana hasa kwa Taifa na Serikali kwa ujumla.
Naona waandishi mbali mbali wanaenda kumuhojo yule binti huku point kubwa ikiwa ," ANASOMA SHULE YA SERIEKALI"
Kitendo alichofanya Rais kumpisha binti akae kiti cha rais ni kukubali kuwa Serikali inatambua elimu itolewayo haina viwango ndio maana alichokifanya yule binti kimekuwa nje na mategemeo yao. Yaani ni wazi viongozi wanatarajia watoto wanaohitimi shule za serikali wasiwe na uwezo mkubwa kujenga hoja na kuwasilisha hoja zao.
NB: Huu ni mtazamo wangu kama unaona tofauti ni sawa pia.
Kama Zele? πHuu uigizaji ipo siku mtu ataachia ofisi ikulu na kumkabdhi muigizaji mmoja halafu yatakayotokea hapa siyasemi
safi kabisa watu sijui huwa wanafikiri kwakutumia kifa gani?mtoto shupavu sana huyuKuongea mbele ya umati si kazi rahisi lakini kuongea mbele ya mheshimiwa Rais na viongozi waandamizi wengine ni kazi ngumu zaidi.